Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na madevu ndo alikuwa lab technician wenu bila shaka hahaaaNdanda boys daah kitambo sana nilipangwa hapo kusoma PCB, physics alikua anafundisha mmarekani Joseph chow (r.i.p) , chemistry Ka madam flani Ka kijapan (sikuwah kuelewa kitu kwenye pindi lake) afu bios mtu mzima ominde aka cha pombe
Niliona ndoto zangu ndo zinaishia hapo, likizo fupi nilibeba kila kilicho changu nikasepa home nikawaambia kuliko kurudi bora nikae mtaani
Noma sana Mkuu.....Sie ilikuwa boys tupu......msimu wa maembe ilikuwa...unakula uji na maembe!!
Mkuu hiyo shelaton ina historia yake, kuna miaka palitokea mafuriko, mabwen ya wasichana yakasombwa ndo zikajengwa Mpya, ndo maana zilikuwa tofauti na za mkoloni hahaaaaNimepita hapo 2009-2011 tulipokelewa na Lulukila (Master) Bweni nililofikia Shelaton, Room Wanyama ( The Animals)
ktk vitu ninavyovikumbuka shule nzima ilikuwa na wanafunzi 976 kombi 9 ila walimu 13, yaan kila mwalim akipewa darasa lake hawaenei maana Form5&6 jumla ilikuwa madarasa 18.
Sowani (master) ndo tulimuacha, naskia sasa marehemu, Maticha vituko kama, Mpemba, Mkandawile, kuna mmoja tulikuwa tumamwita Niaje,
Daah Ndanda kuna mengi saanaa sita pasahau pale!!!
Yumba Kaboboooo !!!Peruree ruleee ndanda boys peru peru ndanda boys.
2006-2008 kilimanjaro-mawenzi room 21 tuliita horizon deep.
Tv room mv bukoba .
Lecture room ukumbi wa Manchester.
Head Master ..Mzee Mmoja ivi (mlemavu flani)
Makamu nadhani alikuwa Sowone.
Makota G (rip)
Halafu kuna Muhidin (Mjahidina)
Kulikuwa na kimadam flani ivi kilikuwa laboratory, achana na mama tesha.
Yumba Kabobo,alikuwa mtata balaa
Haa aaa aaHongereni wana Ndanda, siku hizi kusini kuchere. Ni masaa 5 tu DSM to Lindi then 40min to Ndanda. Karibuni sana.
Mimi 2006-2008 Mkuu.Ndanda boy 2007-2009
Jamaa alikuwa mamba kichiziYumba Kaboboooo !!!
Where is this guy?Yumba Kaboboooo !!!