Nani Kasema John Boko ameisha!

Nani Kasema John Boko ameisha!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kapten Fantastic John Raphael Boko!

Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League.

Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko.

Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
 
Kapten Fantastic John Raphael Boko!
Leo amezidi.kuwa prove wrong haters wake .Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League .Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko.
Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
Ni Aidha haujawahi kucheza mpira kabisa, au hauwezi kutofautisha kati ya vipaji halisi, na fake, touch yake, pace, ball control, zote ni F, ashukuru sana tunguli, hauwezi kumeweka boko mbele ya kina Iddi nado, Ayoub lyanga etc.
 
Tumia Kiswahili wewe! We umecheza kiwango gani ...Boko Ndio kawatia jambajamba Mm abeki mpaka wakatepeta ...Your good for nothing ..na hizo touch ,mara pace!
 
Mimi ni mshabiki wa simba, lakini kwenye ukweli nitakwambia ni mfumo wetu tu mbovu lakini Boko hastahili kuanza first eleven simba, achilia mbali kuvaa kitambaa, hata timu ya Taifa hastaili kuitwa, sio mmoja Kati ya wale waliopewa Talanta ya mpira wa miguu, ni mpambanaji lakini kuna sehem zinahitaji zaidi skills kuliko kubahatisha,
 
Wenye akili kama nyie huwa hamkosekani.
 
Kapten Fantastic John Raphael Boko!

Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League.

Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko.

Haters toeni povu ..Boko katuvusha!

Itakuwa ni shemeji tu, sio bure
 
Hivi Boko , Leo alikuwa tofauti gani na Chama, Baleke, Said n wengine..... Mm bado sioni shida kubwa ya Boko .. Kwa namna Timu ukivyocheza Leo! Ndio maana hata Timu ya Taifa karejeshwa ... Aau nahuko.anaroga ateuliwe! Simba Ina tatizo kubwa .

Lakini sio Boko!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kila mara huwa nawauliza swali kwa wale wanaposema Bocco ameisha..swali hilo ni; wanionyeshe au wamtaje kijana ambae anatakwimu zilizo Bora kumzidi? Huwa sipati majibu.
 
Back
Top Bottom