Ni Aidha haujawahi kucheza mpira kabisa, au hauwezi kutofautisha kati ya vipaji halisi, na fake, touch yake, pace, ball control, zote ni F, ashukuru sana tunguli, hauwezi kumeweka boko mbele ya kina Iddi nado, Ayoub lyanga etc.Kapten Fantastic John Raphael Boko!
Leo amezidi.kuwa prove wrong haters wake .Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League .Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko.
Haters toeni povu ..Boko katuvusha!
Tumia Kiswahili wewe! We umecheza kiwango gani ...Boko Ndio kawatia jambajamba Mm abeki mpaka wakatepeta ...Your good for nothing ..na hizo touch ,mara pace!Ni Aidha haujawahi kucheza mpira kabisa, au hauwezi kutofautisha kati ya vipaji halisi, na fake, touch yake, pace, ball control, zote ni F, ashukuru sana tunguli, hauwezi kumeweka boko mbele ya kina Iddi nado, Ayoub lyanga etc.
Katoa assist Kwa aliyejifunga!Kafunga goli? Katoa assist?
Mimi ni mshabiki wa simba, lakini kwenye ukweli nitakwambia ni mfumo wetu tu mbovu lakini Boko hastahili kuanza first eleven simba, achilia mbali kuvaa kitambaa, hata timu ya Taifa hastaili kuitwa, sio mmoja Kati ya wale waliopewa Talanta ya mpira wa miguu, ni mpambanaji lakini kuna sehem zinahitaji zaidi skills kuliko kubahatisha,Tumia Kiswahili wewe! We umecheza kiwango gani ...Boko Ndio kawatia jambajamba Mm abeki mpaka wakatepeta ...Your good for nothing ..na hizo touch ,mara pace!
Kwahyo data za CAF zimegoma kumweka Bocco kwenye assist au wamekosea?Katoa assist Kwa aliyejifunga!
Wenye akili kama nyie huwa hamkosekani.Mimi ni mshabiki wa simba, lakini kwenye ukweli nitakwambia ni mfumo wetu tu mbovu lakini Boko hastahili kuanza first eleven simba, achilia mbali kuvaa kitambaa, hata timu ya Taifa hastaili kuitwa, sio mmoja Kati ya wale waliopewa Talanta ya mpira wa miguu, ni mpambanaji lakini kuna sehem zinahitaji zaidi skills kuliko kubahatisha,
Wazee ni hazinaBOCCO ameshazeeka tuseme ukweli tu
Kapten Fantastic John Raphael Boko!
Leo amezidi kuwa prove wrong haters wake. Pamoja na dharau nyingi dhidi ya Ake bado Boko anaweza kucheza Champions League.
Hakana Kocha mwenye akili Timamu anayeweza kumpuuza Boko.
Haters toeni povu ..Boko katuvusha!