Hayo unayoyasema hapa hayaongezi thamani yoyote katika swala la uozo uliopo huko huko wizarani.Nakwambia tena hivi, VP alikurupuka. Hayo mambo hayaendi hivyo. Kama VP alisikia hayo maneno huko mitaani na hakuuliza watu walioko kwenye sekta iwe huko Halmashauri au Wizarani akayaongea hadharani amekurupuka. Period.
My dear Kalamu bado hujaelewa madhara ya mtu wa "kawaida" kutangaza maneno ya mitaani na "VP" kufanya the same.Hayo unayoyasema hapa hayaongezi thamani yoyote katika swala la uozo uliopo huko huko wizarani.
Kama yanasemwa na watu huko mitaani hadi yakamfikia Makamo wa Rais, na wizara haina habari nayo unataka watu waelewe kitu gani kuhusu hiyo wizara!
Watu wawe wanasubiri hadi kiongozi mkuu ayasikie kwa wananchi ndipo wizara iyatolee ufafanuzi?
Kama wananchi walikuwa nayo huko mitaani ni kwa nini hawakupeleka hayo malalamiko kwenye Wizara husika mpaka wamsubiri VP ndiyo waseme hayo unayoita wewe malalamiko? Ina maana VP asingeenda huko hicho kitu kisingezungumzwa?? Huo ni unafiki na kutaka kuchafua watu!!!Hayo unayoyasema hapa hayaongezi thamani yoyote katika swala la uozo uliopo huko huko wizarani.
Kama yanasemwa na watu huko mitaani hadi yakamfikia Makamo wa Rais, na wizara haina habari nayo unataka watu waelewe kitu gani kuhusu hiyo wizara!
Watu wawe wanasubiri hadi kiongozi mkuu ayasikie kwa wananchi ndipo wizara iyatolee ufafanuzi?
Duh!My dear Kalamu bado hujaelewa madhara ya mtu wa "kawaida" kutangaza maneno ya mitaani na "VP" kufanya the same.
Unaona sasa; nimekwishasema katika jibu langu nililoweka sasa hivi kwamba hizi ndio tabia za watumishi wetu serikalini.Kama wananchi walikuwa nayo huko mitaani ni kwa nini hawakupeleka hayo malalamiko kwenye Wizara husika mpaka wamsubiri VP ndiyo waseme hayo unayoita wewe malalamiko? Ina maana VP asingeenda huko hicho kitu kisingezungumzwa?? Huo ni unafiki na kutaka kuchafua watu!!!
Jibu uliandika since day one nashangaa kwa nini tunabishana sasa hivi. Ngoja nikuache.Na kama haitoshi, inakuwaje Makamu akatoa taarifa nzito kiasi kile bila kuwasilianan na wizara husika katika serikali yake?
Hivi unajua ni kwanini, hayo malalamiko yalipelekwa kwa VP?Kama wananchi walikuwa nayo huko mitaani ni kwa nini hawakupeleka hayo malalamiko kwenye Wizara husika mpaka wamsubiri VP ndiyo waseme hayo unayoita wewe malalamiko? Ina maana VP asingeenda huko hicho kitu kisingezungumzwa?? Huo ni unafiki na kutaka kuchafua watu!!!
Siyo kweliHivi unajua ni kwanini, hayo malalamiko yalipelekwa kwa VP?
Ni kwa kuwa walijua wakizifikisha wizarani, ni kama vile wamepeleka Kesi ya ngedere kwa nyani!
What do you expect?🥺
Naona huelewi chochote.Jibu uliandika since day one nashangaa kwa nini tunabishana sasa hivi. Ngoja nikuache.
Mkuu hili la kuhifadhia samaki lina ukweli na Dr Mpango hakukurupuka. Hata nchi zenye scandal za uchakachuaji kama Indonesia hili tatizo limewahi kutokea.Jiulize kwanza: Philipo yeye kalitoa wapi jambo hilo, maana hawezi kuamka tu usingizini na kwenda kulitamka alivyofanya.
Na kama haitoshi, inakuwaje Makamu akatoa taarifa nzito kiasi kile bila kuwasilianan na wizara husika katika serikali yake?
Hili ni jambo la kushangaza sana.
Sasa turudi kwenye hiyo dawa yenyewe: Haiwezi ikawa chloroform. Chloroform haitumiki kuhifadhi maiti.
Hata hivyo, chloroform ni dhaifu zaidi katika kusababisha saratani. Miaka siyo mingi sana iliyopita, chlorofrm hiyo hiyo ilikuwa ikitumika kuchanganyia dawa za binaadam, na imetumika kwa muda mrefu kiasi, na hapakuwa na wingi wa hiyo saratani. Ndiyo, baadae inadhaniwa kuwa na madhara hayo, lakini siyo kwa kiasi hicho cha kutia woga.
Bila shaka dawa inayozungumziwa hapa itakuwa Formaldehyde (Formalin), ambayo ndiyo hasa kazi yake ni kuhifadhi maiti, na haijawahi hata mara moja kutumika kwa matumizi ya binaadam kwa kumeza au kupaka. Inajulikana zaidi kuwa na madhara ya kusababisha saratani.
Na mwisho: Haya yanayotokea ni dalili wazi kabisa za taasisi zetu kutofanya kazi ipasavyo. Haiwezekani kabisa watu wawe wanatumia vitu hatarishi kwa maisha ya binaadam kirahisi namna hii bila kujulikana.
Hii ni dalili moja wapo ya nchi yetu kuwa 'Banana Republic' kwelikweli.
Ndiyo maana gonjwa hatarishi kabisa linaingia nchini, halafu wanasiasa ndio wanakuwa mstari wa mbele kupinga uwepo wa gonjwa lenyewe!
Si ajabu hata 'Panya Road' wanatamba!
Sijui ni jambo lipi tunaloweza kujivunia kama nchi kwa sasa. Labda mafanikio ya CCM kuwalaza akili waTanzania. Katika hili hakuna mfano unaotufikia sisi.