Nani kawadanganyeni kuwa Uganda Cranes ( Timu ya Taifa ya Uganda ) itatuachia mwakani mwezi Machi kuna Uwanja wa Taifa?

Nani kawadanganyeni kuwa Uganda Cranes ( Timu ya Taifa ya Uganda ) itatuachia mwakani mwezi Machi kuna Uwanja wa Taifa?

Huyu kocha hata kama ikatokea muujiza tukamchapa Uganda. Afungashiwe virago tu.

Jibu alilotoa "...stars sio simba" limeonyesha anashida ktk kumanage wachezaji. Pia ana mbinu dhaifu sana uwanjani.

Na hapo alipoitaja Simba SC yangu ndiyo nimezidi ' Kumchukia ' maradufu sasa.
 
Angepanga moja ya Kikosi hiki yote haya yasingemkuta ila kwa sasa atuvumilie tu tumpe ' makavu ' yetu ' mubashara ' ili atujue Watanzania na akienda Kwao nchini Nigeria akawasimulie vizuri. Mpuuzi kabisa huyu Kocha na ndiyo maana sikumkubali tokea alipoteuliwa baada ya Kuziangalia vizuri ' CV ' zake hasa kwa Timu alizozifundisha katika nchi mbalimbali.

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe / Salum Kimenya
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Abubakary Salum / Faisal Salum
9. Thomas Ulimwengu / Shaaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya


au

1. Aishi Manula

2. Ramadhan Kessy / Salum Kimenya
3. Abdi Banda / Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Faisal Salum / Abubakary Salum
9. Shaaban Chilunda / Thomas Ulimwengu
10. John Boko

11. Shiza Kichuya

Yaani kwa hasira / jazba nilizokuwa nazo nimeshindwa kabisa ' Kumbandua / Kumtunuku ' Utamu wa Kitandani Demu wangu tokea jana ile hadi sasa. Mkuyenge wangu nao ' umenuna ' kabisa kwa matokeo haya ya Kukera / Kuudhi kabisa.
Ila hii ni dharau kubwa sana Amunike katufanyia..

Hivi kweli kwa squad hii tusingepata hata goli moja?

Jamaa hafai kuwepo / kurudi Tanzania apitilize kwao kabisa.
 
Katika vitu ambavyo Uganda hawataweza kufanya ujinga ni kuwalegezea stars kwa sababu wanajua fika kwamba katika mechi ambazo zitakuwa zinachunguzwa kwa umakini na CAF ni hii ya stars na uganda. Na wakijaribu kufanya upumbavu wa kuwaachia Tanzania watapigwa ban kama sieraleone. Ko watajitahid kucheza kwa kadri ya wanavyoweza ili kuogopa adhabu ya CAF. Na waganda wakicheza vizuri hat kwa kiwango cha % 50 bado watatufunga goli nyingi sana!
mbona kwao walishindwa????
 
kwenye miaka ya 2007 au 2008 hivi,ilikua tumpige au tudroo na msumbiji pale shamba la bibi,ilitwende afcon dah kilichotokea ni aibu ya macho.........
Sasa nikivuta picha ya Okwi na pale taifa anavyofunga anavyotaka naiona nafasi yetu ya kutokea nikubwa sana...........

Amunike asibishane na ukweli najua anataka kutengeneza Timu Bila kutumia wachezaji wa klabu za kulwa na Doto Ila nimkumbushe tu Hao Kulwa Na Doto ndio wanamiliki wachezaji wenye UWEZO WALAU KUTUVUSHA TULIPO

Ila tuombe lile bomba la mafuta pale Tanga mpaka Uganda Lihusike katika kutoa tokeo
 
Screenshot_2018-11-20-12-16-32.jpeg
 
Naona tumetoka Kufa Maseru nchini Lesotho na hatimaye sasa Rais Museveni anakuja Kushuhudia Maziko yetu rasmi pale Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam nchini Tanzania tarehe 22, March 2019.
Ni hatari sana.. jamaa kashatoa ruksa
 
Back
Top Bottom