GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Huyu kocha hata kama ikatokea muujiza tukamchapa Uganda. Afungashiwe virago tu.
Jibu alilotoa "...stars sio simba" limeonyesha anashida ktk kumanage wachezaji. Pia ana mbinu dhaifu sana uwanjani.
Taifa Stars ya Amunike ni timu ya mabekiUmemaliza kila Kitu Mkuu, Safi sana na huwa napenda Kukutana na Watu Werevu / Vichwa / Vipanga kama Wewe hapa Jamvini.
😀.Na hapo alipoitaja Simba SC yangu ndiyo nimezidi ' Kumchukia ' maradufu sasa.
Ila hii ni dharau kubwa sana Amunike katufanyia..Angepanga moja ya Kikosi hiki yote haya yasingemkuta ila kwa sasa atuvumilie tu tumpe ' makavu ' yetu ' mubashara ' ili atujue Watanzania na akienda Kwao nchini Nigeria akawasimulie vizuri. Mpuuzi kabisa huyu Kocha na ndiyo maana sikumkubali tokea alipoteuliwa baada ya Kuziangalia vizuri ' CV ' zake hasa kwa Timu alizozifundisha katika nchi mbalimbali.
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe / Salum Kimenya
3. Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Abubakary Salum / Faisal Salum
9. Thomas Ulimwengu / Shaaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
au
1. Aishi Manula
2. Ramadhan Kessy / Salum Kimenya
3. Abdi Banda / Gadiel Michael
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Faisal Salum / Abubakary Salum
9. Shaaban Chilunda / Thomas Ulimwengu
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
Yaani kwa hasira / jazba nilizokuwa nazo nimeshindwa kabisa ' Kumbandua / Kumtunuku ' Utamu wa Kitandani Demu wangu tokea jana ile hadi sasa. Mkuyenge wangu nao ' umenuna ' kabisa kwa matokeo haya ya Kukera / Kuudhi kabisa.
mbona kwao walishindwa????Katika vitu ambavyo Uganda hawataweza kufanya ujinga ni kuwalegezea stars kwa sababu wanajua fika kwamba katika mechi ambazo zitakuwa zinachunguzwa kwa umakini na CAF ni hii ya stars na uganda. Na wakijaribu kufanya upumbavu wa kuwaachia Tanzania watapigwa ban kama sieraleone. Ko watajitahid kucheza kwa kadri ya wanavyoweza ili kuogopa adhabu ya CAF. Na waganda wakicheza vizuri hat kwa kiwango cha % 50 bado watatufunga goli nyingi sana!
Ni hatari sana.. jamaa kashatoa ruksaNaona tumetoka Kufa Maseru nchini Lesotho na hatimaye sasa Rais Museveni anakuja Kushuhudia Maziko yetu rasmi pale Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam nchini Tanzania tarehe 22, March 2019.
Zitto [emoji23]
Uganda hawataki ujinga, tumechezea shilingi wenyewe.