Nani kawahi kuwithdraw pesa UTT (Unit Trust of Tanzania)

charleslee

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
408
Reaction score
200
Habari zenu wadau

kuna fununu za chinichini kuwa hawa jamaa wanasumbua pale mtu unapotaka kutoa pesa kutoka mfuko flani....wanadai baada ya siku kumi za kazi. Je ni wakweli? kuna yeyote aliyewahi kurequest pesa zake na kweli zikaja kwa akaunti ya bank?

Thanks
 
mkuu Hawa jamaa ni wasumbufu kupita Maelezo. Bora uende bank uweke fixed japo faida ni ndogo.
 
Ndio wanatoa baada ya siku kumi za kazi.
 
Inawezekana mkuu, na kwa experience haichukui hata two weeks inakua tayari, nimewahudumia wateja wengi waliokua na request kama yako, kiurahisi unaenda any crdb branch unajaza forms, wanakuekea hela kwenye account direcly

Ukitaka msaada zaidi pm me please
 
Siku 21 za kazi labda wawe wamebadilisha
 
Thanks...nakuja pm
 
Aisee usisikilize sana Maneno ya watu mtaani ambao hawaijui UTT, ukihitaji pesa yako toka utt ni simple sana huhitaji hata kusafiri kwenda huko Crdb kutafuta form ya kujaza, fomu zote zipo kwenye website yao just download jaza information wanazotaka watumie within 10working days kaangalie kwenye akaunti yako, kama hutaingiziwa rudi hapa JF. Nazungumza kama mteja na ambaye huwa natoa pesa UTT
 
Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…