Nani kawakimbiza wafanyabiashara wa nchi jirani kariakoo? TRA au wafanyabiashara wenyewe wa kariakoo kwa ulaghai?

Wote wezi tu, utashangaa ukiskia huyo mfanyabiashara aliyeandika risiti ya mil 200 kwa mzigo wa bilioni ndio anapiga tra tena ili wamkamate mfanyabiashara mgeni mzigo ananyanganywa badae unarudishwa hapo dukani.
Afisa Tra analamba chake
 
Tujiulize hivi ni kweli 18% ya VAT inalipika hilo ndo lakujiuliza serekali inalazimisha tu kuumiza wafanyabiashara
 
Sawasawa 👍
 
Nimekuelewa mkuu
 
Well said "Ushimen" mwandishi wa hii mada ni pimbi na hovyo hakika!
 
VAT anatakiwa alipe mnunuzi, kwanini huo mzigo anabebeshwa mfanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…