Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Basi andika nyama ya kuku ili uonekane umechangia mkuu..[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Basi andika nyama ya kuku ili uonekane umechangia mkuu..[emoji2]
[emoji15]Umeandika utumbo wa kuku Bora ungekaa kimya tu
Wote wezi tu, utashangaa ukiskia huyo mfanyabiashara aliyeandika risiti ya mil 200 kwa mzigo wa bilioni ndio anapiga tra tena ili wamkamate mfanyabiashara mgeni mzigo ananyanganywa badae unarudishwa hapo dukani.Mkuu wewe ndio haujielewi kwa kuwatetea TRA, na kwamfano ulio utoa basi badala ya TRA kukamata mzigo wa mgeni walipaswa wamuwajibishe mfanya biashara kwa kutumia ushahidi wa mgeni.
Hata kwa mfano ulio utoa, bado TRA atakua ndie amewafukuza wafanya biashara wa nje, badala ya kuwaelimisha na kuwalinda.
Kumbuka mfanya biashara wa Kariakoo sio jukumu lake kumuelimisha mgeni, bali ni wajibu wa TRA na serikali kumuelimisha mgeni/mteja ili kumlinda.
Sawasawa 👍Mkuu wewe ndio haujielewi kwa kuwatetea TRA, na kwamfano ulio utoa basi badala ya TRA kukamata mzigo wa mgeni walipaswa wamuwajibishe mfanya biashara kwa kutumia ushahidi wa mgeni.
Hata kwa mfano ulio utoa, bado TRA atakua ndie amewafukuza wafanya biashara wa nje, badala ya kuwaelimisha na kuwalinda.
Kumbuka mfanya biashara wa Kariakoo sio jukumu lake kumuelimisha mgeni, bali ni wajibu wa TRA na serikali kumuelimisha mgeni/mteja ili kumlinda.
Nimekuelewa mkuuMkuu wewe ndio haujielewi kwa kuwatetea TRA, na kwamfano ulio utoa basi badala ya TRA kukamata mzigo wa mgeni walipaswa wamuwajibishe mfanya biashara kwa kutumia ushahidi wa mgeni.
Hata kwa mfano ulio utoa, bado TRA atakua ndie amewafukuza wafanya biashara wa nje, badala ya kuwaelimisha na kuwalinda.
Kumbuka mfanya biashara wa Kariakoo sio jukumu lake kumuelimisha mgeni, bali ni wajibu wa TRA na serikali kumuelimisha mgeni/mteja ili kumlinda.
Well said "Ushimen" mwandishi wa hii mada ni pimbi na hovyo hakika!Mkuu wewe ndio haujielewi kwa kuwatetea TRA, na kwamfano ulio utoa basi badala ya TRA kukamata mzigo wa mgeni walipaswa wamuwajibishe mfanya biashara kwa kutumia ushahidi wa mgeni.