Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umedadavua vyema kabisa hasa PSG. Ila kwa ile forward ya PSG City anaweza kutobolewa kirahisi sana. Shida ya City huwa ni kuruhusu Counter Attack kwa maana huwa wanaacha mashimo mengi sana. Angalia jana goli walilofungwa na Chelsea, Angalia Match walilofungwa na Leeds United au Match waliyofungwa na Manchester United. City huwa wakikutana na timu bora kwenye Marking hupata tabu sana.Nadhani PSG ana moto nalo zaidi, kama atafika fainali atalitwa kufika fainali mara 2 mfululizo kisha asilibebe hesabu zangu zinakataa.. 32%
Man city sio wa kubezwa wana timu nzuri mnoo 30%
Madrid wao hili kombe ni kama wamelioa vile, japo sina uhakika kama anaweza kumfunga man city fainali, labda kidogo psg wakikutana fainali.. Shida psg hawana kiungo cha kushindana na madrid wala man city, wao wanategemea zaidi ubora wa strikers wao pale juu, na kidogo ulinzi, wakiomba dua golikipa wao Navas aamke vizuri awastili.. Na hili ni tatizo siku wakikutana na man city, watapata tabu saana
Madrid 28%
Chelsea asibezwe saana kwenye mpira lolote linaweza kutokea 10%