Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wote wamefanya vizuri hata kikwete ndani ya miaka mitatu Gdp ilitoka $17bln na kwenda $29blnHakuna Cha maana ulichoandika 😂😂
Kwa Sasa Tunazungumzia real term economy kutoka GDP ya $70bln Hadi GDP ya $80bln ndani ya miaka 3 tuu.
Mengine ni blaa blaa zisizo na msingi
Magufuli nae ndani ya miaka mitatu Gdp ilitoka $47bln na kwenda $58bln
So maraisi wote wanafanya vizuri, no need ya kumbagaza yoyote