Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wote wamefanya vizuri hata kikwete ndani ya miaka mitatu Gdp ilitoka $17bln na kwenda $29blnHakuna Cha maana ulichoandika ππ
Kwa Sasa Tunazungumzia real term economy kutoka GDP ya $70bln Hadi GDP ya $80bln ndani ya miaka 3 tuu.
Mengine ni blaa blaa zisizo na msingi
Magufuli hakupika takwimu kama world bank walipika nitakubaliana na wewe,yule alikuwa ntu ya kazi watanzania wanajua na dunia inajua hivyoAndiko lote limejaa sifa kwa mwendazake, unaonekana ni mnazi wa mwendazake. Btw aliondoa sera ya ukweli na uwazi pia kuweka sheria za takwimu mpya ili mambo yake ayafanyie gizani kama kukuzia uchumi gizani na kupika takwimu ili aonekane shujaa lakini ni yeye aliyevuruga economic system ya nchi hii mpaka sasa tunahangaika kurestore na haya matatizo tunayoyaona sasa ni effects za uharibifu wake.
Kikwete alifanya vzr kwenye sector gani or melemeta,richmond,dowansi, epa,escrow et na Samia kafanya vzr kwenye nin or dp world, kufukuza masai loliondo or mikopo ya ufisadi uliokithiri???ongea km mwanaume rijali weweWote wamefanya vizuri hata kikwete ndani ya miaka mitatu Gdp ilitoka $17bln na kwenda $29bln
Magufuli nae ndani ya miaka mitatu Gdp ilitoka $47bln na kwenda $58bln
So maraisi wote wanafanya vizuri, no need ya kumbagaza yoyote
Sipo kwa ajili ya kuandika mabaya ya kikwete. Kafanya mazuri muda umeishaKikwete alifanya vzr kwenye sector gani or melemeta,richmond,dowansi, epa,escrow et na Samia kafanya vzr kwenye nin or dp world, kufukuza masai loliondo or mikopo ya ufisadi uliokithiri???ongea km mwanaume rijali wewe
Tulia mwendazake ateseke motoniUmeandika porojo nyingi sana zisizo na maana.
Sukuma gang umeanza kuandika pumba!!Hakuna wa kuivunja rekodi ya magufuli.samia anazidi kuharibu tu Kila siku.kipindi cha magufuli tulifika uchumi wa kati lakini Kwa Sasa tumeporomoka na kuwa severe poorest country(below poverty line)
Pimbi wewe!Ngoja nyumbu wazee wa tutashitakiwa MIGA waje
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa mwamba!Sukuma gang umeanza kuandika pumba!!
Uchumi upi wa kati jiwe alitupeleka??
Nchi ilifilisika kwa madeni. Wizi na uporaji? Utekaji na wizi wa kura