Mkuu KooZito hii sio TCRA ni watumiaji wote wa mitandao hii tangu saa tisa jioni. Nimewasiliana na watu zaidi ya 10 na nje ya nchi hakuna inayofanya kazi. Vuta subira huenda ikatengamaaHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Mkuu iyo avatar yako speaks volume.Kua mpole...
Uliisoma EULA na kuielewa? Au uli-click I agree then maisha yakaendelea?Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Daah, nimechoka.Mkuu KooZito hii sio TCRA ni watumiaji wote wa mitandao hii tangu saa tisa jioni. Nimewasiliana na watu zaidi ya 10 na nje ya nchi hakuna inayofanya kazi. Vuta subira huenda ikatengamaa
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Ndio.Una mkataba nao??
kwani unalipia facebook? au whatsapp?Hebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
Me nimechukia. Hii hela ya awamu ya pili si ningeenda kuila kiepe tu 🥺Nilidhani labda bando langu limekata nikanunua , kumbe iko shida.
Zamani uliwezaje kufanya biashara bila whatsap? ndiyo mjifunze kutotegemea mfumo mmoja tuHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!
TCRA hana ubavu juu ya hili suala maana ni globalHebu wataalamu na wajuzi wa mambo wanisaidie. Toka jioni mitandao ya WhatsApp, Facebook na Instagram haifanyi kazi. Imesimama. Baadhi yetu kama Mimi biashara zangu zimesimama kwa sababu hiyo. Hivi nani atanifidia? Je, itapita tu eti wameomba radhi kwa usumbufu? TCRA kama regulator anatusaidiaje katika hili?
Nawasilisha!