Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
sasa hivi tuchukuliane poa mana hela zote tumemalizia kwenye ada.
Jamani jamani mtatufanya wengine tusije ooooo mashindano ya viwalo hatuyawezi atii
khaaaaa........sasa nije na kiwalo kipi....wengine hatuna size zetu dukani mpaka tushoneshe kwa fundi.Njo uwe pamoja na mimi siku iyo, mie si someshi, sina mtoto, sina mke, silipi bili ya umeme wala maji.
khaaaaa........sasa nije na kiwalo kipi....wengine hatuna size zetu dukani mpaka tushoneshe kwa fundi.
ananilipulia nguo yangu inahitaji umakini sana ,,,,,kwa siku mbili hawezi labda iwe mwezi mzima.Usiwe na hofu jamani, nitakupeleka kwa mustafa hassanali leo ili jumamosi mchana ukaichukue
Me nitavunja rekodi kwa kutopendeza kabisaaaa Bujibuji
charminglady unakumbuka siku ile Malaika Beach ulivyodatisha na swimming costume ya Kitenge cha ZAIRE?