Nani kupendeza zaidi kwenye ChitChat White Party?

Nani kupendeza zaidi kwenye ChitChat White Party?

Bujibuji hapa kwa ukweli upande wangu kila kitu kipo poa,
white dress nimeletewa na Vin Diesel kutoka dubai,
kiatu nimenunua hapa hapa,
perfume aina 4 zote za bei mbaya, hivyo wenye alegi mkae mbali na mimi kwa usalama wa afya zenu,

yaani niko biye kabisa.

Sasa wewe taja vyoote nilivyoleta na wenzio waanze kudai....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hivi kesho si tuna trip ya zenji? Uwahi kurudi toka job tupack nguo...

jamaaaani si tunaenda white party on sato........au hii ni ile uliniambaga siku ilee..........?!?!? tuahirishe banaaa tuje tuende next weekend!

Sasa wewe taja vyoote nilivyoleta na wenzio waanze kudai....

Vin Diesel ukinipia nitapokea kuomba kwa kudai kisa fulani anacho sikuzoea.................

Nimeanza kuhisi homa....sijui kama nitaweza attend.....

........jiandae naja kukupeleka kwa tatibu MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom