Nani kupendeza zaidi kwenye ChitChat White Party?

Bujibuji hapa kwa ukweli upande wangu kila kitu kipo poa,
white dress nimeletewa na Vin Diesel kutoka dubai,
kiatu nimenunua hapa hapa,
perfume aina 4 zote za bei mbaya, hivyo wenye alegi mkae mbali na mimi kwa usalama wa afya zenu,

yaani niko biye kabisa.
 
Last edited by a moderator:
My dia dada samahani sana hata kukupigia simu naona aibu na wewe sikutaka nikusumbue basi nlimcal Paloma mara 50 hakupokea simu yangu hata sijui kwa sababu gani hakupokea na mpaka mda huu hajanipa sababu za kutokupokea simu.
He he ntakuja kukuosha sawa?usijali
amu nina hasira na wewe.
 
Last edited by a moderator:

mdogo wangu amu kuwa uyaone! yaliyonikuta mwenzio.....alosema "afadhali ya jana" hakukosea!!!

badae jioni nitakucol ukuye pande ile tusongeshe sawa!?!?
 
Last edited by a moderator:

Mamndenyi, mbona mikwara mingi hivyo? Ntaweka wapi sura yangu iliyosilibwa kwa mafuta ya RAISE na bafyumu ya Yolanda?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…