aku wala sio vilee.......
mbona sina taarifa wajameni!!!??
ntakuja na Mamndenyi
cc: Vin Diesel
lkn mbona nataka kuja kule kubwawa...na naniliu wa naniliu?!?!?
jamaaaani si tunaenda white party on sato........au hii ni ile uliniambaga siku ilee..........?!?!? tuahirishe banaaa tuje tuende next weekend!
Vin Diesel ukinipia nitapokea kuomba kwa kudai kisa fulani anacho sikuzoea.................
........jiandae naja kukupeleka kwa tatibu MziziMkavu
Paloma hapa sasa ndo unakuwa
tutakwenda ngoja nikupitie hapo kijiweni kwako.
aku wala sio vilee.......
mbona sina taarifa wajameni!!!??
ntakuja na Mamndenyi
cc: Vin Diesel
lkn mbona nataka kuja kule kubwawa...na naniliu wa naniliu?!?!?
aku wala sio vilee.......
mbona sina taarifa wajameni!!!??
ntakuja na Mamndenyi
cc: Vin Diesel
lkn mbona nataka kuja kule kubwawa...na naniliu wa naniliu?!?!?
sikuelewi.
Sweetheart...usimrushe roho sana Mamndenyi presha yake ikampanda bure....
usintanie Vin Diesel....kumbe bado unampenda!!!!!!!
huh!!!:confused2:!!!
na ndio naahirishakila kitu!!!