Nani kutoka Duniani wa kutusaidia kulifurusha jinamizi

Ni Gen Z tu, na baadaye wasaidiwe na jeshi. Hawa wakiamua, wanaweza. Na kama wataogopa kama sisi wazee wai, basi wahuni wataendea kuwa washindi.
Sisi wengine uwezo wa kufukuzana mtaani na wavuta bangi waliovaa unifomu, huku wakiamrishwa kuua na wakubwa zao; kwa kweli hatuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…