Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
Ni mtu wa theory kwa sana kuliko vitendo na kaifanya siasa kuwa jumba la sanaa!

Huyu si ndiye aliyewahi kumpa Rais wa Madagaska(Yule DJ) aliyepindua kwa msaada wa wanajeshi eti muda fulani awe ameyaachia madaraka kwa hiari vinginevyo eti angepata kichapo. Lakini DJ bado anapeta kwa raha zake mpaka sasa na kesho pia. Huyu bwana kwa mujibu wa Mdhihiri M.Mudhihiri ni nyoka wa mdimu ambaye anawazuia watu kuchuma ndimu wakati yeye hali hizo ndimu
 
Nimepata taarifa ya kuwa Mtoto wa mkulima kaomba kupumzika.
Sasa mpambano ni kati ya Magufuli na Tibaijuka:israel:
 
Wakimpa Magufuli, CCM wataendelea kuitawala hii nchi maana jamaa kama hatawekewa mizengwe ataleta impact kubwa yenye ushawishi wa kuendelea kuichagua CCM tena.
 
hizo ni rumours tu! Mizengo mwenyewe anafikiria urais 2015 halafu aombe kuacha sheeesh!!!
 
Alitaka kupumzika lakini 100% mizengo kayanza peter pinda
 
Si kweli. Refer hotuba yake aliyoitoa DOM wakati wa kumpongeza Makinda.

Alisema wazi endapo atachaguliwa tena kuwa PM atashirikiana na Wana Wa Kike!
 
bado dk chache tujue mbivu na mbichi ni zipi
 
PINDA keshajichokea hawezi siasa za Bongo mzee wa watu, na hivi kamoyo kake kadogo si ndio atalia mpaka basi...
tulimsema kidogo tu kuhusu alivyosema wauaji wa albino nao wauawe akalia mpaka tukamuonea huruma , tukimpa urais tukimlazimisha awatoe mafisadi si ndio atalia mpaka azimie???:smile:
 
Wampe Dk. John Magufuli kama wanaangalia vigezo vya utendaji...lakini kama wanataka kuja na hoja ya Ubeijin sawa wafanye majaribio kwa Tibaijuka ila wajue ni bahati nasibu.
 
hizo ni rumours tu! Mizengo mwenyewe anafikiria urais 2015 halafu aombe kuacha sheeesh!!!

Humjui vizuri mtu huyu, The guy is cool ila hakuwa na sauti ya kufanya chochote mbele ya kina JK. Na huwa hapendi makuu, Sometimes he walks away from the cabinet meetings coz he doesnt agree with what is going on with the Government. I think he will be very glad kama hatarudishwa katika U-PM.
 
wafikishieni TBC ujumbe jamani watuonyeshe Bunge ... hatukatwi hela zetu kuwalipa mshahara kwa ajili ya Kupigia CCM kampeni , yani tunataka kuwaona wawakilishi wetu huko Bungeni .. Mzee Sugu na Lissu na wengineo....
tutaonana wabaya jamani na huku kujipendekeza kwa watu?? naona wame concetrate kwa wizara aliyokuweko Mpiganaji Magufuli au ndio PM?????
 

Magufuli ni mtenda kazi mzuri na mwadilifu, ila kwa Chama Cha Mafisadi, kwao Atawekea kauzibe
Subirini suprise ya CCM
 
Wampe Dk. John Magufuli kama wanaangalia vigezo vya utendaji...lakini kama wanataka kuja na hoja ya Ubeijin sawa wafanye majaribio kwa Tibaijuka ila wajue ni bahati nasibu.

Mie hapana nahisi kizunguzungu. Hebu jamani msintanie, kweli kabisa Kikwete na Magufuli!!! This must be some kind of Joke au labda ndo hizo suprize za Mr. Misifa a.k.a Mr. Opprotunist Jk. Maana labda ameona upepo kwa wananchi unamuonesha kuwa akimchagua huyu atapanda chati. Ila mi ninachojua ni kwamba hawa ni maji na mafuta japo wote wako ndoo moja (CCM). Kweli inawezekana???? labda kwa mazingira yanayoruhusu kama avatar yangu
 
Naona muda unayoyoma na saa ndio hizo zinakaribia kufika
 
Nchi inasikitisha sana. Msishangae waziri Mkuu ni Lowasa kwee kweliiii!!! Tunaikama hiyo bahasha yenye Jina kama ni kibaka aliyechaguliwa kuwa waziri mkuu basi itajibadilisha yenyewe.
 

Watu bana!!
Yaani hamjui jina la huyu jamaa liliongezwa kwenye baraza la mawaziri kwa mkono(hand written not typed) Mkwere alishammwaga wazee wa chama wakamshauri amrudishe coz na yeye alishapata habari BP ikipanda akaenda kulazwa husipitali.
source: USALAMA WA CCM
 
Nchi inasikitisha sana. Msishangae waziri Mkuu ni Lowasa kwee kweliiii!!! Tunaikama hiyo bahasha yenye Jina kama ni kibaka aliyechaguliwa kuwa waziri mkuu basi itajibadilisha yenyewe.

Wadau kuna mtu ananiambia amewaona wazazi wa Pinda watinga viwalo vya kutisha hapo bungeni

Kama ndo hivyo , jamaa karudi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…