Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

Status
Not open for further replies.
Hii itakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa kishindo wa sisem itadondoka kama parachichi liloiva kutoka mti mrefu wenye futi zaaidi ya mia
 
EL angependa sana iwe hivyo, lakini siwezi kuamini macho yangu kama hilo litatokea na sijui Watanzania wataambiwa nini wakati anatangazwa. Je, JK atasema ilikuwa ajali ya kisiasa au atasema kuwa amesafishika? Likitokea tutaliongeza hilo katika orodha ya moja ya maajabu ya Tanzania.
 
Nahama nchi,fis........................No,no!!!!!!........................
 
Haisaidii kitu hata awe nani ndani ya ccm , mageuzi yaliporwa oktoba 31 , wacha ccm wachaguane wao kwa wao hata waziri mkuu akiwa chenge au ole sendeka hakutakuwa na tofauti akiwa pinda au magufuli mfumo mzima wa ccm mbovu!
 
Najua JK si msikivu. Lkn hawezi fanya kosa la kumrudisha Lowasa kama waziri mkuu. kwani akidiriki kufanya hivyo ccm kushiri kabisa.
 
Gharama za kuhudumia waziri mkuu msataafu ni kubwa sana atakuwa rais wakwanza kutuingiza katika gharama hizo kwa kipindi kifupi sana cha miaka minne........
=====

Kama gharama ni tatizo, basi anaweza kumrudisha EL kwa sababu hata sasa EL anahudumiwa kama retired PM. Kitakuwa kiasi cha kubadilishana, Pinda aende retirement na EL arudi kuwa active PM. Hakuna loss wala saving katika hatua hii.

However, sidhani kama anaweza kumwondoa Pinda kwa sasa. Ataenda naye half way kama alivyomchukua half way! Lengo ni agenda 2015, kwa hiyo next presida atakuja kama PM baada Pinda kuachia half way.

Wanaodondoka sasa hivi ni Membe ambaye si ajabu akawa waziri wa kilimo cha maembe. Mwandosya ataundiwa liwizara lisilo na mbele wala nyuma ili akose muda wa kuendeleza "project Mwandosya".

Ndugu zangu jihadhari na wanajimu kama mimi wiki hii.
 
Maadam yafuatayo yametokea ndani ya kizazi hiki:
-Sam Six katoswa uspika
-uraisi kuwa mali ya familia
-chenge kufuliwa, kutakatishwa na kungarishwa na sabuni ya takukuru
-kagoda mpaka leo mauzauza
-kigamboni kuuzwa
-nyumba za serikali kugawiwa bure (ile bei ni sawa na bure)
-raisi wa nchi kushinda kwa asilimia 27% ya wapiga kura na kukabidhiwa uraisi (what about the 73% wasiokutaka ?, what about wasio piga kura ?)
-nk (list ni ndefu mnooo!!!!!)

Sitashangaa EL kuteuliwa tena kuwa PM.
Kwani lipi litakuwa la ajabu zaidi ya hayo hapo juu?
 
Magufuli ni Dictator Kazi ya uPM haiwezi angekuwa POLISI angeuweza uIGP hapo mahali pake kiti kingekuwa kimepewa mwenyewe
 
Kuna jitihada kubwa na fedha nyingi zinatumika ili EL awe PM 2010-15. Wazee wa CCM wakiwepo marais wastaafu wanafanya kila namna kumshawishi JK amteue EL kushika wadhifa huo kwa mara nyingine tena kwa kuzingatia kuwa "amejisafisha" kwa kashfa zilizomng'oa kwenye wadhifa huo. It's just the matter of time, let's wait and see.

Habari ndiyo hiyo:sad:

... nanukuu ile thread ingine:
1: RAIS - RA (JK)
2: PM - EL (Pinda)
3: Spika - EL+ RA (Asiyejua FISADI nani!!)
4: CJ - CJ (???)
 
Kama walivyosema katika uspika kuwa anawekwa mwanamke ili kubalance suala la jinsia katika mihimili mikuu ya nchi, basi sasa waje na suala la rangi ili kuondoa ubaguzi wa rangi. Wakienda kwenye hilo nadhani sasa watatuletea waziri mkuu mpya naye ni ROSTAM AZIZ maana watasema huyo ni mwadilifu na ni panga la zamani lenye makali na kelele zilizosikika ni wivu tuu. Wabunge wa CCM kama kawaida yao watampitisha kwa kishindo.
 
Wakati wa kuiadhibu CCM umewadia,kosa dogo la kdharau maoni ya watu(Wananchi),wawaweke watu wao patachimbika,hawakumbuki Kenya ilikuwaje,Malawi je na huko Zambia je,wajifanye hamnazo tuna nguvu ya kukataa hata kabla ya 5 yrs LAKINI Sikio la kufa halisikii dawa na Mdharau mwiba mguu huota tende na kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
 
Hapa ndipo siku zote mimi huwa napaona pagumu!yaana EL arudi tena !hii nchi kweli haina wenyewe!!
 
Acheni uzushi.... pinda kuendelea na wadhifa wake maana alishapindishwa na sasa anacompy na demands za RA
 
mi ningetoa comment hapa ila naogopa wakubwa wa JF wanaweza nipa BAN..manaa bado nina nighmares za uchaguzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom