Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
duuh Mwigulu hizi hujuma zako dhidi ya Bi Kidude uwe unazifanya huko kwenye magroup ya WasapJe ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Je ni Jumbe Katala?

Sijasema atakuwa Rais ila atagombea. Sasa iktokea amegombea ina maana nafasi yake ya ubunge ndiyo tunajadili nani anastahili?Hapo kampeni tayari? amekutuma muda mbaya, hawi na hatakuja awe Rais wa Tanzania katika Maisha yake make hata huo uwaziri tu ni swala la muda.
Yaani Mumesahau Damu za watu zilivyomwagika huyu akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi? Katika watu ambao ni hatari kwa Ustawi wa Nchi hi ni pamoja na Huyu Jamaa.Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Sasa tufanyeje asiwe mbunge tena? Huyu jamaa kwa kweli ni Mafia!Yaani Mumesahau Damu za watu zilivyomwagika huyu akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi? Katika watu ambao ni hatari kwa Ustawi wa Nchi hi ni pamoja na Huyu Jamaa.
Kama Tumelogwa ama mtu amelogwa basi hii ni Sample ya Kipimo cha Ulozi!!
Mwingulu kugombea U-Rais 2025 !? Kwani Mwingulu ana bifu gani na Mama Rais,mpaka akajitokeze kugombea badala ya kumwachia Mama amalizie Ungwe yake ya pili ? Wee Vipi !Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Hili nalo neon!Uongozi mkubwa hutoka kwa Mungu watanzania tuendelee kuomba
Dr zaipuna anafaaJe ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Mwigulu kabla hajafikiria kugombea urais, asimame hadharani awaambie watanzania, zile maiti zilizokuwa zinatupwa kwenye viroba, kando ya mto, Ruvu wilayani Bagamoyo ni akina nani?Je ni Jumbe Katala?
Je ni Zaipuna Yonah?
Je ni Timothy Lyanga?
Je ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Atajitetea kwa hilo. Yumo humu muda mwingi tu!Mwigulu kabla hajafikiria kugombea urais, asimame hadharani awaambie watanzania, zile maiti zilizokuwa zinatupwa kwenye viroba, kando ya mto, Ruvu wilayani Bagamoyo ni akina nani?
Wamekosa nini?
Kwanini walitupwa na si kuzikwa?