Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
- Thread starter
- #21
Lolote kama lipi?Mwenyekiti alishasema muache masuala ya kuutafuta uRais, 2025 ni mbali...lolote laweza kutokea !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolote kama lipi?Mwenyekiti alishasema muache masuala ya kuutafuta uRais, 2025 ni mbali...lolote laweza kutokea !
Kwa hiyo hao wanaotajwa tajwa wanaweza wakamtoa?suala la tozo limemmaliza kisiasa mwigulu, hata kuupata huo ubunge itakuwa ni tia maji tia maji,
Yeah. Mie mwenyewe huenda mwezi wa kumi nikapotea na kuingia chimbo kuanza kujijenga mdogo mdogo. Uzuri wa kuwa na jina kubwa ni kwamba unaweza kugombea hata kwa kupitia chama cha ushirika (AMCOS) na ukashinda 😂😂😂CCM vikumbo vimeanza ha ha ha
Da
Nahisi kuna mis-location ya ubongo wakoJe, ni Jumbe Katala?
Je, ni Zaipuna Yonah?
Je, ni Timothy Lyanga?
Je, ni Richard Mkumbo wa Ujenzi?
Je, ni Innocent Msengi? Diwani wa kata ya Mwigulu Kyengege?
Tujadili kwa faida ya Iramba yetu! Manake piga ua garagaza Dr. Mwigulu 2025 ni lazima agombee URais 2025 kama ambavyo ameshapangwa na WaChina!
Daah yale mabomu pale Soweto Arusha watu walipoteza maisha....Yaani Mumesahau Damu za watu zilivyomwagika huyu akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi? Katika watu ambao ni hatari kwa Ustawi wa Nchi hi ni pamoja na Huyu Jamaa.
Kama Tumelogwa ama mtu amelogwa basi hii ni Sample ya Kipimo cha Ulozi!!
Anaweza akaongoza hivi hivi eheeee!Daah yale mabomu pale Soweto Arusha watu walipoteza maisha....
Kuongozwa na huyu heri kudandia ndege ikatumwage kokote.