Nani kuwania Ubunge Iramba ikiwa Mwigulu akigombea Urais 2025?

CCM vikumbo vimeanza ha ha ha

Da
Yeah. Mie mwenyewe huenda mwezi wa kumi nikapotea na kuingia chimbo kuanza kujijenga mdogo mdogo. Uzuri wa kuwa na jina kubwa ni kwamba unaweza kugombea hata kwa kupitia chama cha ushirika (AMCOS) na ukashinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nahisi kuna mis-location ya ubongo wako
 
Yaani Mumesahau Damu za watu zilivyomwagika huyu akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi? Katika watu ambao ni hatari kwa Ustawi wa Nchi hi ni pamoja na Huyu Jamaa.
Kama Tumelogwa ama mtu amelogwa basi hii ni Sample ya Kipimo cha Ulozi!!
Daah yale mabomu pale Soweto Arusha watu walipoteza maisha....

Kuongozwa na huyu heri kudandia ndege ikatumwage kokote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…