Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Kweli ukipewa cheo sio chako yaani hakuna cha arobaini ukifa mwingine anapiga kama sio kupigishwa jaramba kurithi nafasi yako

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa yule wa utawala bora halafu yule wa kazi maalum atarudi utawala bora my assumption
 
Hana sifa hizo labda aje kubeba hizo nafasi mbili za uDED zilizobaki
 
Subirini Mpendwa Wetu AZIKWE acheni ROHO MBAYA ni UCHURO HUO kwani kuna Haraka Gani Magufuli alikaa Miezi mingapi bila Kuteua Baraza la Mawaziri NINI KILITOKEA?
 
Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi walikuwa watu wa kanda. Mwendazake alikuwa muoga sana

Wala si u kanda tu. Wote walikuwa wasukuma kwa mujibu wa utambulisho wao wenyewe.

Haiyumkiniki wakisokota u hiiiiii bagosha, kwenye vikao rasmi vya serikali vyenye kuhusisha wizara hii nyeti.
 
Wala si u kanda tu. Wote walikuwa wasukuma kwa mujibu wa utambulisho wao wenyewe.

Haiyumkiniki wakisokota u hiiiiii bagosha, kwenye vikao rasmi vya serikali vyenye kuhusisha wizara hii nyeti.
Kweli Mwendazake alistahili kwenda mapema kwa maslahi mapana ya nchi
 
January yupo poa, ila ndoto yake ya urais inamuharibu
 
Alituchelewesha sana na wengi wanaendelea kufa leo kwa ugonjwa huu sababu ya porojo zake.
Ila na yeye alikufa ili kutuonesha mfano kuwa huu ugonjwa unaua. Tuchukue tahadhari sana
 
Kwa mara ya kwanza Waziri wa Ulinzi atakua mwanamke kutokea Kanda pendwa
 
Mama ashike hiyo nafasi yeye mwenyewe ataweza kumdhibiti Mbowe na chadema vizuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…