Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

Hivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Usiwe na haraka kiasi hicho.

Hata kabla hawajamhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, unataka kujua mrithi wake atakuwa nani?

Haraka haraka haina mbaraka........
 
Hivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Naona wamweke Mbowe, kwa msingi aliotumia Mandela kumweka Buthelezi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani South Africa.
 
kazi lazima iendeleee.
Mtanzania yeyote yule ilimradi awe na sifa zifuatazo anafaa;
1. Mzalendo wa kweli kwa Nchi.
2.Mwenye elimu ya kutosha na uelewa wa maswaala ya teknolojia ya kisasa.
3. Mwaminifu na mtiifu,
3. Mwadilifu
4.. Mwenye msimamo madhubuti asiye kubali kuyumba wala kuyumbishwa.
5. Mwenye maarifa na mbunifu
5. Mchapa kazi asiye choka wala kujisahau.
asiwe mpole sana......
itapendeza sana pia kama wizara itaongozwa na mwanajeshi mwenye rank za juu. ili wizara ikae kijeshi na ulinzi kikamilifu.
 
MIMI.

Mtaanii kote wananijua makaveli ndio nani, vibaka hawathubutu kuiba maskani.

Nilipata cerficate ya [emoji1625] japan, nina diploma ya kutega na kutegua mabomu toka kyuba, nina degree mbili za ujasusi toka ISRAELI, Nimespesholaizi katika kutumia zana za kivita toka URUSI, nina degree ya KUNG-FU toka china, muaythai, nilijifunza [emoji3037] sambamba na Mike Iron tyson.

Hivyo kimataifa naina mahusiano mazuri tu naa mataifa makubwa.
 
Mbarawa kama mbunge anafaa.....hana papara wala tamaa....
 
Usiwe na haraka kiasi hicho.

Hata kabla hawajamhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, unataka kujua mrithi wake atakuwa nani?

Haraka haraka haina mbaraka........
Jeshini hakuna mtu muhimu..hivyo hivyo Serikalini..nyenyuka akae mwingine..
 
January makamba
Nashauri Makamba aende Mambo ya Ndani, halafu Simbachawene awe Waziri wa Ulinzi. Nahodha yeye anafaa kote kote. Kwa hiyo mojawapo ya machaguo ninayopendelea mini ni Nahodha na Makamba
MUBARIKIWE TENA NABWANA
 
Back
Top Bottom