Usiwe na haraka kiasi hicho.Hivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Naona wamweke Mbowe, kwa msingi aliotumia Mandela kumweka Buthelezi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani South Africa.Hivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Paulo makonda au Bashiru au BashiteHivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Huyo anayeogopa hata chanjo tu atawezaje kutulinda.Polepole 😂😂😂
Jeshini hakuna mtu muhimu..hivyo hivyo Serikalini..nyenyuka akae mwingine..Usiwe na haraka kiasi hicho.
Hata kabla hawajamhifadhi kwenye nyumba yake ya milele, unataka kujua mrithi wake atakuwa nani?
Haraka haraka haina mbaraka........
Nipewe mimi tu aiseeHivi ni nani anafaa kuchukua nafasi ya hayati kwandikwa? Namaanisha pale wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
Umesema Nani,?Babu Tale
Nashauri Makamba aende Mambo ya Ndani, halafu Simbachawene awe Waziri wa Ulinzi. Nahodha yeye anafaa kote kote. Kwa hiyo mojawapo ya machaguo ninayopendelea mini ni Nahodha na MakambaJanuary makamba