Wenyewe washaanza mambo ya jinsia! Sasa huo utaratibu mara nyingi huwa sipendezwi nao, watu wagombee kwa uwezo na wala si kubebwa kwa kuangalia jinsia...
Ni ujingaaa mkubwa kugawana madaraka ya nchi kwa kufuata jinsia, huku mkipinga ubaguzi wa aina yoyote, je jinsia sio ubaguzi??? kama rangi dini kabila au umri???