nani makamu wa mh.sitta?

nani makamu wa mh.sitta?

RedArmy

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
44
Reaction score
8
Nani amechaguliwa kuwa naibu wa rais mtarajiwa na spika wa bunge la katiba mheshimiwa samwel sitta?
 
Wenyewe washaanza mambo ya jinsia! Sasa huo utaratibu mara nyingi huwa sipendezwi nao, watu wagombee kwa uwezo na wala si kubebwa kwa kuangalia jinsia...
 
Mchakato utaanza wakati wowote na ni dhahri lazime atoke zanzibar.
 
Ni ujingaaa mkubwa kugawana madaraka ya nchi kwa kufuata jinsia, huku mkipinga ubaguzi wa aina yoyote, je jinsia sio ubaguzi??? kama rangi dini kabila au umri???

Wanzibari wakikubali ujingaaa huo imekula kwao.
 
Back
Top Bottom