Nani malkia wa nguvu JF

Wakuu leo ni siku ya wanawake duniani na hivyo basi leo nataka tumpate malkia wa nguvu wa JF .


Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF?


Twende kazi.
Mimi nawahusudu hawa

1) tya 02

2)Smile Again

3) Irk

4)Paprika ingawa ni mgeni lakini namkubali sana .
 
Easy mkuu
Hii ni chit chat. .usichukulie too serious

Am sorry malkia wangu wa nguvu(kidding)
Una mtafutia ban mkuu. Hujui HR 666 junior akifunguka hapa tutakimbiana then apewe ban bure..
 
Niffa
Niffa
Niffa
Niffa
Niffa
Niffa
Niffa

Am out then
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…