Nani malkia wa nguvu JF

Nani malkia wa nguvu JF

Mpaka sasa matokeo ni haya

1)Sky Eclat amepata kura 5
2)Evelyn Salt amepata 2
3)Faiza foxy amepata 2
4)Paprika amepata 2

Haya endeleeni kupiga kura mara nyingi muwezavyo
CHIKIRA MTABARI
CHIKIRA MTABARI
CHIKIRA MTABARI
 
Team faizafoxy ila hakuna uhakika kama faizafoxy ni jinsia ya Ke au Ni Me au Zote.
 
Mpambano umezidi.kupamba moto ,na mpaka sasa mchuano mkali upo kati ya Sky eclat na faiza foxy

Sky eclat 5

Faiza foxy naye amepata 5

Haya endeleeni kupiga kura
 
Back
Top Bottom