CHIKIRA MTABARIMpaka sasa matokeo ni haya
1)Sky Eclat amepata kura 5
2)Evelyn Salt amepata 2
3)Faiza foxy amepata 2
4)Paprika amepata 2
Haya endeleeni kupiga kura mara nyingi muwezavyo
And your the best of the bests.!!Ukinikubali wewe na The bold wangu inatosha mkuu.
Asante sana kwa support yako always,I'm humbled kwakweli.
Sio Ke?Huyo ni special case mkuu hajulikani jinsia yake
Kwa tabia zake za umbeya atakuwa KeShilawadu. Kwani imeshakuwa confirmed kama Warumi ni Me au Ke
Thank you baby [emoji8]And your the best of the bests.!!
HahahahahahaAnd your the best of the bests.!!