Nani malkia wa nguvu JF

Nani malkia wa nguvu JF

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu leo ni siku ya wanawake duniani na hivyo basi leo nataka tumpate malkia wa nguvu wa JF .


Msichana/Mwanamke yupi unaona anafaa kuwa malkia wa JF?


Twende kazi.
 
Yeezus awe malkia wetu wa nguvu(ila ni kwa NIABA ya wanawake wote wa jf)
 
Miss Chagga

Yaani haka kadada kananifanya nipige vibolingo(Vibarua). Ili nipate pesa.
 
Back
Top Bottom