Nani malkia wa nguvu JF

Nani malkia wa nguvu JF

Mpaka sasa matokeo ni haya

1)Sky Eclat amepata kura 5
2)Evelyn Salt amepata 2
3)Faiza foxy amepata 2
4)Paprika amepata 2

Haya endeleeni kupiga kura mara nyingi muwezavyo
 
Huwez ukambiwa uwakilishe wanawake wa jf wakat ww ki dume. Mpe hata moja la kushoto alale nalo. NB. Ban inaua
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseeee au jamaaa ameungana
Na bashite kuwa mgeni
Razm kwenye sku.ya wanawake
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseeee au jamaaa ameungana
Na bashite kuwa mgeni
Razm kwenye sku.ya wanawake
nimeshatoka huku maaaaaaaapemaa
 
Kabsaaa mzeee mwenzang
Kumbe hata ww umeliona
Hili
 
Back
Top Bottom