Nani malkia wa nguvu JF

Nani malkia wa nguvu JF

Kwani mtu akifanyaje ndio anakuwa malkia wa nguvu?!
 
Huyo hajafa kweli?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Yupo kimyaa sana sijamuona mwaka wa pili sasa
Yupo Mkuu.

Tumehamia porini Mkuu,Si unajua kipindi cha kiangazi hakukuwa na malisho ya kudumu kwa ajili ya mifugo?.

Akirudi mjini ataingia mtandaoni.
 
Ni hawa hapa, kina Mama wa Tarime:

4007d17222f5c93cda1a055e513c6234.jpg
 
Ukiona hivyo hana ushawishi kwa members

Michango yake haivutii

Hakubaliki na members

Hivyo basi usiwalazimishe watu wakipende ukipendacho wewe
Msimfsnyie hivyo. Nitamwambia amshawishi The Bold asitishe simulizi
 
Back
Top Bottom