paul green
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 17
we kweli mgonjwa ana rekodi gani? vp timu ya taifaUzi umepwaya huu chama huwezi mfananisha na ajib.. records za chama ni kubwa Africa haswa club bingwa Africa.. ajib anajitahidi ili amfikie chama..
Alafu wanacheza number tofauti..chama ni kiungo ajib ni foward (winger)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu Ya Taifa Yupo tena kwenye kikosi cha kwanzawe kweli mgonjwa ana rekodi gani? vp timu ya taifa
kuwepo si shida, shida anafanya nini? wapo wengi timu ya taifa ila tunakula(ga) 7Timu Ya Taifa Yupo tena kwenye kikosi cha kwanza
fundi anavizia ajakabwa anapiga danadana, fundi ajibu mjomba hata mje 5 huchukui mpiraChama yupo team yake ya Taifa Zambia, Ajibu hayupo..
Ovaaaa..View attachment 998784
Sent using Jamii Forums mobile app
tulia ww mbumbumbu hapa tunaongea mabingwa ambao mpaka sasa hatujapoteza mechi we subiri kupewa dare for mo na as vitalVyuraaaa! Buana wana akili za kitoto sana, eti wanafananisha fundi wa kimataifa na ajibu wa mchangani.
Kaly' amaziVyuraaaa! Buana wana akili za kitoto sana, eti wanafananisha fundi wa kimataifa na ajibu wa mchangani.
Mkuu unadhani n sahihi kwa National Team yetu kumkosa mtu kama Ajibu?,Tuache mambo ya Usimba na Uyanga.Chama yupo team yake ya Taifa Zambia, Ajibu hayupo..
Ovaaaa..View attachment 998784
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mchezaji bora hutoka kulingana na nafasi anayocheza au ubora wake ktk nafasi anayocheza?Uzi umepwaya huu chama huwezi mfananisha na ajib.. records za chama ni kubwa Africa haswa club bingwa Africa.. ajib anajitahidi ili amfikie chama..
Alafu wanacheza number tofauti..chama ni kiungo ajib ni foward (winger)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka rekodi za Chama za kumzidi Ajibu nipigwe ban ya maisha.Uzi umepwaya huu chama huwezi mfananisha na ajib.. records za chama ni kubwa Africa haswa club bingwa Africa.. ajib anajitahidi ili amfikie chama..
Alafu wanacheza number tofauti..chama ni kiungo ajib ni foward (winger)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama ndio mwamba wa lusaka kiungo tegemezi team ya taifawe kweli mgonjwa ana rekodi gani? vp timu ya taifa
Ngoja nizitafute record za chama mwamba wa lusakaUkiweka rekodi za Chama za kumzidi Ajibu nipigwe ban ya maisha.