Nani mchezaji bora kati ya Ajibu wa Yanga na Chama wa Simba?

Nani mchezaji bora kati ya Ajibu wa Yanga na Chama wa Simba?

ajibu wanampangaga tu fowad lakni anafanya kazi kama kiungo mda mwingi ndo maan wapo kwenye mizan.
 
Vyuraaaa! Buana wana akili za kitoto sana, eti wanafananisha fundi wa kimataifa na ajibu wa mchangani.
 
Chama yupo team yake ya Taifa Zambia, Ajibu hayupo..

Ovaaaa..
realclatouschama_4___BsirBPejZ1g___.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuraaaa! Buana wana akili za kitoto sana, eti wanafananisha fundi wa kimataifa na ajibu wa mchangani.
tulia ww mbumbumbu hapa tunaongea mabingwa ambao mpaka sasa hatujapoteza mechi we subiri kupewa dare for mo na as vital
 
Uzi umepwaya huu chama huwezi mfananisha na ajib.. records za chama ni kubwa Africa haswa club bingwa Africa.. ajib anajitahidi ili amfikie chama..

Alafu wanacheza number tofauti..chama ni kiungo ajib ni foward (winger)..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mchezaji bora hutoka kulingana na nafasi anayocheza au ubora wake ktk nafasi anayocheza?
Hizo mechi 3 tu ndio ashakua bora Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi umepwaya huu chama huwezi mfananisha na ajib.. records za chama ni kubwa Africa haswa club bingwa Africa.. ajib anajitahidi ili amfikie chama..

Alafu wanacheza number tofauti..chama ni kiungo ajib ni foward (winger)..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka rekodi za Chama za kumzidi Ajibu nipigwe ban ya maisha.
 
Back
Top Bottom