Nani Meneja biashara wa Harmonize?

Hiyo wala hakulipua ni anamnyonya dogo kwasababu views zinalipa na hela ya dogo ambayo angepata kwenye views zinaingia kwake
Shida sio hela shida ni brand mkuu ndio maana tunasema amelipua, Harmonize angeweza kuchukua hela hata kama video imewekwa kwenye account ya huyo dogo ndio maana hata yeye wakati yupo kwenye label yake ya zamani nyimbo zake zilibaki kwake ili kumjenga awe brand ila makato ya pesa aliendelea kukatwa as usual

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daah mi huyu napita kama nimeona mjusi baada ya kuweka hio minywele anaonekana kituko yeye sio handsome halafu kaweka style ya nywele mbovu isiofanana nae, kiukweli kuubrand muonekano wa kizombi yataka moyo
 
Ni bora kafanya hvyo angalau kibiashara itamlipa japo account ya dogo itabaki chini.
maana ukiangalia kwa yy tu viewers wa kusuasua vp akaiweka kwa Dogo..? Si ndo ataambulia viewers laki
 
Sasa kama ataendelea kuupload video za dogo,dogo huko youtube atakuwa anajibrand vipi,ila huwezi kujua labda waliangalia harmonize ana fanbase kubwa kwahiyo video itaangaliwa na watu wengi
 
Sasa kama ataendelea kuupload video za dogo,dogo huko youtube atakuwa anajibrand vipi,ila huwezi kujua labda waliangalia harmonize ana fanbase kubwa kwahiyo video itaangaliwa na watu wengi
sasa lini watamtengenezea huyo dogo hiyo fanbase..

Maana ili utengezewe fanbase lazima ujengwe katika misingi mizuri ambayo itahusisha kazi bora katika account yako, kwani wakati wimbo wa Bado ft Diamond ulishindwa kuwekwa kwa Diamond? si waliiweka kwa Harmonize ambaye alikuwa na wimbo mmoja ili wamkuze awe brand iweje leo yeye na uongozi wao washindwe hesabu ndogo tu hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mameneja biashara hawaijui kabisa wanakula hela bure za kondeboy na sara
Km itawezekana, ampe kazi Salam SK kusimamia Mzk wake na Showz. Atafika mbali sanaa..

Ila Hapa litakuja swala la uteam. Shida itaanzia hapa..

Ila Salaam Angetrain vijana kuwa mameneja, angefundisha njia za kummanage wasanii. Kina salaam wangepatikana kwengi.. ingekuwa poa sanaa
 
ukifanya mziki ndo utaelewa vizuri haya mambo.
 
Pia kwenye mkataba huwezi kujua labda nyimbo dogo atakazotoa ni mali ya konde gang
 
MI BADO NAULIZA HIVI KIBA KESHAMLIPA MAN WALTER??!AFU UKUTE NA YEYE KAFUNGA HII RAMADHANI😁😁😁
Huu uchochezi.... hapa tunazungumzia issue ya harmonize na management yake! Huyo kiba kaingiaje hapa! Huyo man maji kashalipwa kitambo tu ila kiba hatangazi kwa kuwa king apendi shoo ofu!!
 
Mkuuu unayo atleast ata pesa ya kununua barakoa ?? Ao umeshonea na nguo ya dada ??[emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…