Nani Meneja biashara wa Harmonize?

Mzee umeongea point kubwa Sana
 
Hapo unatakiwa utofautishe, Meneja Biashara, Meneja msimamizi, Msimamizi wa Akaunti ya You tube na Mkataba kati ya Ibra na Konde Music sio Harmonize
 
Fall in love, wife and Nakupenda malaika...nasubiria video zake kwa hamu💋💋💋💋💖💖💖💖💖💖
 
MI BADO NAULIZA HIVI KIBA KESHAMLIPA MAN WALTER??!AFU UKUTE NA YEYE KAFUNGA HII RAMADHANI[emoji16][emoji16][emoji16]
Alishamlipa mkuu akamnunulia na Ford Ranger ila akamwambia asiseme kwny medias maana Ali K hapendagi kabisa kujionyesha onyesha.
 
Huyu msanii kavunja record kuanza kuonyonywa mapema Sana Kabla hajapata hata shows
 
Hasa kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salam SK ana nini cha Ziada, yule ni Meneja chawa mi uwa naami mafanikio ya Diamond ni akili na nguvu yake Mwenyewe..

Salam alishindwa kwa AY na Navy Kenzo mbona hakuwafikisha popote na ni Wasanii wakubwa,.

Kuna msanii gani Amewai kumsimamia Salam akafika popote? Salam kamkuta Diamond kasimama na alikua ameshatoboa, Ni Bora ungesema Babu tale au Mkubwa Fella Maana walishawasimamia wasanii tofauti tofauti na Wakawafikisha sehemu,.

Huyo salam ni meneja chawa tu hamna lolote misifa mingi.
 

Kumbe huwa unajitoa ufahamu tu..!!
 
leo umejitahidi kuwa neutral...

ila labda nikuulize kama salaam ni chawa unajisi kwanini diamond amekubali awe manager wake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo umejitahidi kuwa neutral...

ila labda nikuulize kama salaam ni chawa unajisi kwanini diamond amekubali awe manager wake ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu Lugha mwanzoni ilikua Inamsumbua Diamon na Tale nae Mweupe, Ndo maana ilifikia Kipindi Wakagawana Majukumu Tale akawa meneja wa ndani kitaifa na Salam wa nje Kimataifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…