Kiungonguli
Member
- Jul 26, 2015
- 60
- 100
Kwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haraka ya nini tusubiri msaada wao kwa timu zao mpya, jose luis wa simba sio sawa na jose wa al ahlyKwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
Tuliza ngewe kwanzaHaraka ya nini tusubiri msaada wao kwa timu zao mpya, jose luis wa simba sio sawa na jose wa al ahly
UZI TAYARIKwa mnaowafahamu vema mafundi hawa waliosajiliwa na YANGA na SIMBA tuambieni bila kuweka ushabiki nani kalamba dume?
Huyo Aziz ki bila Simba kushiriki kimataifa sidhani hata kama wangemjuaOkrah amethibitisha ubora wake kwenye ligi tofauti kubwa alizopita.
Sudan amechezea timu mbili kubwa; Al Hilal na El Merreikh.
Huko akaondoka na magoli ya kutosha na assist zisizohesabika.
Akaenda Ghana, napo ameondoka na magoli ya kutosha na assist zisizohesabika.
Huyu jamaa amepevuka, anajua anachofanya, huyo Aziz Ki bado kinda sana kwa Augustine Okrah.
Yaan namkubali manzoki mnoooo, akitua tyuuh ntawahi Jersey kabisaaa.Kama Deal la Manzoki likitick, kuna watu wataharisha uwanjani!
Pambeni kuna Okrah na Sakho, katikati kuna Akpan, Chama na Phiri, halafu mbele yupo mdudu Manzoki!!!
Watu watarudianamo "Unamwachaje anapiga mashuti?? Wewe mbona hukabi?[emoji23]
Leta takwimu hapa,Acheni kumfananisha Ki Aziz na vitu vya kipumbavu
Manzokiii yuko njiani habari ikufikieee,Yale yale ya Fiston Mayele vs Kibu Denis!