ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Hakuna mchezaji bora league ya UgandaKama Deal la Manzoki likitick, kuna watu wataharisha uwanjani!
Pambeni kuna Okrah na Sakho, katikati kuna Akpan, Chama na Phiri, halafu mbele yupo mdudu Manzoki!!!
Watu watarudianamo "Unamwachaje anapiga mashuti?? Wewe mbona hukabi?[emoji23]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app