Nani Mkali kati ya Diamond na Chris Brown?

Ni sawa na kusema Starlet glanza na Bugatti nani mkali.
 
Tmz.com juzi walitoa habari kwamba diamond platinumz ni bora zaidi ya michael jackson na elvis presley,wamefatilia live show zake wameshangazwa na sauti yake nzuri kama kasuku na wamegundua kwamba anaimba vizuri kwenye steji kuliko studio,hongera sana platinums hakuna kama wewe dunia hii
 
weka hapa hiyo habari ya tmz..may be you are speaking sarcastically
 
Naomba nicheke yailah,yaan mzee wa royal umfananishe na diamond acha matusi
 


Mlima Kilimanjaro na Kichuguu
 
Kweli we matope
 
Hili nalo ni jipu, tena uwasho. Litumbuliwe fasta.
 
goli la tatu alilofungwa Arsenal jana ni uzembe wa wenger mwenyewe na mabeki wake.
 
Duh!we kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…