Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mashabiki wa huyu dogo mna shida flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana MAHABA!🙄Mashabiki wa huyu dogo mna shida flani
tuondolee upuuzi wako hata hujui r&b ni nini halafu unaleta kulinganisha...anaimba nini? we unamwonaje?
weka hapa hiyo habari ya tmz..may be you are speaking sarcasticallyTmz.com juzi walitoa habari kwamba diamond platinumz ni bora zaidi ya michael jackson na elvis presley,wamefatilia live show zake wameshangazwa na sauti yake nzuri kama kasuku na wamegundua kwamba anaimba vizuri kwenye steji kuliko studio,hongera sana platinums hakuna kama wewe dunia hii
We kweli mzalendo lakini kwa hili tuache kidogo.
Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Kweli we matopeTmz.com juzi walitoa habari kwamba diamond platinumz ni bora zaidi ya michael jackson na elvis presley,wamefatilia live show zake wameshangazwa na sauti yake nzuri kama kasuku na wamegundua kwamba anaimba vizuri kwenye steji kuliko studio,hongera sana platinums hakuna kama wewe dunia hii
Hili nalo ni jipu, tena uwasho. Litumbuliwe fasta.Wadau wajukwaa hili,
Recently tumeona jinsi kijana wetu Diamond anavyofanya vizuri kwenye music, hapa nyumbani na hata kimataifa.
Hebu tuseme ukweli bila Chuki...
Diamond Platinum na Chris Brown nani mkali au yuko vizuri kwenye maswala yote yakuimba na kucheza?
Duh!we kibokoTmz.com juzi walitoa habari kwamba diamond platinumz ni bora zaidi ya michael jackson na elvis presley,wamefatilia live show zake wameshangazwa na sauti yake nzuri kama kasuku na wamegundua kwamba anaimba vizuri kwenye steji kuliko studio,hongera sana platinums hakuna kama wewe dunia hii