Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Chama ndiye mfungaji wa goli....Huyu alichangia sana kuwavusha kwenye moja ya hatua muhimu kwenye CAF CL
Zishatosha bossNimeweka hizo facts chache mkuu...karibu
Haruna ameisaidia timu ya Yanga kubeba vikombe vya ligi kuu zaidi ya vinne.Chama kawa mchezaji bora wa ligi
Chama alisaidia simba kufika robo fainali klabu bingwa
Chama alisababisha zikaenda team 4 makundi
Chama kaipa simba ubingwa
Tupeni sifa za huyo haruna
Kweli.. kiujumla Haruna huwa hatengenezi nafasi nyingi za kufungaChama kawafunga as Vita na kuwatoa group stage , kawafunga nkana au ndio vitimu vilivyopanda daraja. Kiuchezaji chama na niyonzima wote ni mafundi wa kuchezea mpira ila tofauti yao chama anacheza akitafuta kufunga au kutoa pasi ya mwisho anacheza mchezo hatari, niyonzima anacheza ili kufuraisha mashabiki ni mchezaji machachari
Hii point ya Chama anawika kwenye mechi za timu ndogo sio kweli..Ukitaka kumjua baba mzazi waulize waarabu alichowafanya Misri Bahanuzi akazingua, Chama anawika kwenye mechi za vitimu vilivyopanda daraja kama Ihefu na Gwambina.
Msimu huu yupo KISINDA na Carlinhos mkuuKumfanisha tripple c na niyonzima nikulikosea heshima soka la tanzania...nadhan hata niyozima anajua makali ya daktari ndo maana akawa mchezaji bora msimu uliopita na msimu huu atachukua tena
Kweli.. kiujumla Haruna huwa hatengenezi nafasi nyingi za kufunga
Kile kikosi unatamani kitokee sasa?Ndio
Hii si kweli mkuu...Haruna kwenye ubora wake ni bora kuliko Sure boy lakini si level za Chama...ni heri hata tungemdiscuss Chama na Kamusoko (Kampa kampa tena) kwenye ubora wake,ambaye alimuonyesha Haruna jinsi ya kucheza Modern football na kuchukua namba yake pale Yanga..Unataka kusema uwezo wa Niyonzima ni level ya Sure boy na sio Chama?
Pamoja na UD songoUsiisahau na Nkana Fc pamoja na AS Vita.
Hapa Itakuwa hujamtendea Haki Haruna Niyonzima ambae kiwango chake kwa sasa ni cha chini.Utofauti wa nyakati unafanya usiwe mtenda Haki hata hivyo hata Haruna wa Kiwango cha Juu bado hajamfikia Chama kwa jambo loloteKwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Kauli za kipuuzi hizi. Hata kupiga danadana mbili huwezi.Mkuu usimfananishe Triple C na uchafu...!