Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

"Chama baba...ulijifunza wapi kandanda? Kwanini upo hapa Chama Clatous?" In Baraka Mpenja's voice.
Ila Simba hii ina mafundi aisee, nkimuangaliaga Bwalya ni kama namuona James Rodriguez kwenye ubora wake. Huyo Konde boy la pulga ndo hana maelekezo kabisaaa. Morisson ndo kama vile, mixer pasi za mgongo, mara apande mpira. Kagere ndo hataki kuelewa kitu, ana njaa na kiatu utafkiri anatembea peku. Mugalu ndo huyo kitakachomzuia asifunge ni kuachwa alale hotelini siku ya mechi
 
Comment nyingi zinazo msapoti Niyonzima zinamuongelea akiwa kwenye peak take japo inajulikana sana Chama ndo Alimfanya aonekane was kawaida tu.
Tuwaongelee kwenye peak zao walifanya nini.
Haruna kwenye peak yake kipindi Yanga ikiwa kwenye peak...kama kuna tuzo kawahi kupata basi itakua mchezaji bora wa mwezi(Naweza sahihishwa hapa)

Chama kwenye ubora wake ameongoza kwa assist msimu 2019/20 Vpl
Kiungo bora wa ligi msimu 2019/20 Vpl
Mchezaji bora Azam Sports federation Cup 2019/20.
Ameshafunga magoli ya kuamua mechi ngumu za kuvuka Zaidi ya Mara moja dhidi ya ...Nkana...As Vita.

Haruna ni ball dancer asiye na madhara...Chama ni level nyingine tunashuhudia vitu ambavyo hatujawahi vishuhudia nchini mwetu na ndo maana hata humu Jf Chama ana threads nyingi sana za kumzungumzia siyo Niyonzima.
Nyonzima aliyekuja Simba kujifunza kwa Chama halafu leo tuwalinganishe fifa wanaweza kutufungia kwa utani tunaoleta
 
Mambo mengi anayofanya Mzee Kretusi Leo Haruna Niyonzima baba nzazi ashayafanya kitambo hichoo!! Mzee kretusi ananzidi nini Fundi Wa mpira nchini HHN!?
 
Kwa walioanza kuangalia mpira juzi utawasikia wanasema triple C.

Ila Niyonzima kwa wanaomfahamu aisee acha aitwe Haruna Niyonzima kwa kipindi chake.
Ndugu pole sana mana umeongea kitu kizito ambacho watu waloanza kushabikia timu yao miaka mitatu na nusu ilopita baada ya ujio Wa Mo Dewj hawatokuelewa ng'ooo!!
 
NIYONZIMA = SECRETARY POMPEO.

CHAMA = JULIANA SHONZA.
 
"Chama baba...ulijifunza wapi kandanda? Kwanini upo hapa Chama Clatous?" In Baraka Mpenja's voice.
Ila Simba hii ina mafundi aisee, nkimuangaliaga Bwalya ni kama namuona James Rodriguez kwenye ubora wake. Huyo Konde boy la pulga ndo hana maelekezo kabisaaa. Morisson ndo kama vile, mixer pasi za mgongo, mara apande mpira. Kagere ndo hataki kuelewa kitu, ana njaa na kiatu utafkiri anatembea peku. Mugalu ndo huyo kitakachomzuia asifunge ni kuachwa alale hotelini siku ya mechi
Yule Bwalya Simba wamepata mtu
 
Back
Top Bottom