the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Sana, jamaa anajua mpira, afu hatumii nguvu, ndo maana kwao walimpa jina soft touchYule Bwalya Simba wamepata mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana, jamaa anajua mpira, afu hatumii nguvu, ndo maana kwao walimpa jina soft touchYule Bwalya Simba wamepata mtu
hizo touch zake za kuvusha mipira angani mimi zinaniacha hoi kabisaSana, jamaa anajua mpira, afu hatumii nguvu, ndo maana kwao walimpa jina soft touch
Hapana Yanga hawajakaa sawa timu nzima kiujumla,ila wakiwezekana kuelewana vema basi Baba Mzazi atakuwa akifanyiwa standing ovation na kila shabiki ktk kila mechi!Yanga wanashida ya kupata huduma ya Chama kuliko kuwa na Haruna
Kwani pale simba kuna wakati si panakuwaga kama genge la wahuni tu!? Hans pope na magori wanaweza wakamlamba hata vibao mwalimu na wakampangia na kikosi vilevile. Walishawahi mwacha Amis Tambwe ambae ndiye alikuwa top scorer Wa ligi kwa msimu huo kwa madai ameshuka kiwango na mzee. Alipokwenda yanga msimu uliofuata akawa top scorer tena.Haruna pale Simba alishindwa Kucheza mpira
Ana mchango ktk kuisaidia Yanga kuvuna zile pointi zilizosaidia ktk upatikanaji Wa nafasi NNE za kimataifa tulizozipata mana baadhi ya points Yanga walipata haruna akiwepo Yanga. Lakini ukumbuke huyo huyo Haruna ndiye alikuwa game changer kwenye game yenu dhidi ya AS Vita mana ilikuwa ishashindikana ile. Kwa Mwana simba Wa kweli akikumbuka ile mechi lazima ashike moyo litajwapo jina la Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima!Mkuu Mo Dewji Mbona Kama huwa anawauma sana Yeye Kuifadhili Simba.
Sawa tuambie Haruna ameisaidiaje Yanga Kimataifa Kama Chama.
Nkana Fc, AS Vita, Mbabane Swallows, Utopolo fc Ni team zilizopanda daraja?Ukitaka kumjua baba mzazi waulize waarabu alichowafanya Misri Bahanuzi akazingua, Chama anawika kwenye mechi za vitimu vilivyopanda daraja kama Ihefu na Gwambina.
Wote ni wazuri but Haruna goal contribution yake ni ndogo sana kulinganisha na chamaHaruna Niyonzima?
Hiki ni kichekesho. Siyo mbaya lakini huwez kamwe kumfananisha na CCC.
Angekua na viwango hivyo asingeachwa na SSC
Vipi Marehemu Mutesa Mafisango?kwa East Afrika hakuna kiungo wa kumlinganisha na chama, tulimwona Nyonzima alipokuwa Simba bado alishindwa kufikia hta robo ya Chama kwa kifupi kwa sasa Chama hana mpinzani,
Alikuwa mzuri ila wananutofauti kimajukumu, marehemu alikuwa na uwezo wa kuzuia na kushambulia na kufunga mara chache wakati Chama ni mzuri wankushambulia na kufunga.
Umesahau kama Chauma nachenyewe ni Chama,,,...Ila Niyonzima mashineKwenu wadau wa Soka
Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania.
Viungo Hawa wamekuwa wakiwapa Matumaini Mashabiki wa Timu zao hasa wanapoanza katika kikosi na kufanya Mambo makubwa ndani ya Uwanja na kupelekea Timu pinzani kuonekana Kama wanaonewa na Kunyanyaswa na Wachezaji hao.
= Leo Tujue Kati ya Clatous Chota CHAMA (Mwamba wa Lusaka) na Haruna Hakizimana NIYONZIMA (Baba mzazi)
JE, NANI NI MCHEZAJI BORA ZAIDI.
"Soka ni Mchezo wa Wazi"
Kwani ninyi si mlisema Morrison mwizi Wa magari? Vipi ameacha ghafla?Utopolo wanavyomponda Chama wanasahau walivyodanganywa na Mwakalebela kuwa yanga wanamsajili Chama wakawa wanamshangilia
Kocha aliyekuwepo kipindi Simba ikitolewa na UD SONGO hatua ya kwanza ni nani?Kwani pale simba kuna wakati si panakuwaga kama genge la wahuni tu!? Hans pope na magori wanaweza wakamlamba hata vibao mwalimu na wakampangia na kikosi vilevile. Walishawahi mwacha Amis Tambwe ambae ndiye alikuwa top scorer Wa ligi kwa msimu huo kwa madai ameshuka kiwango na mzee. Alipokwenda yanga msimu uliofuata akawa top scorer tena.
Hushangai walifika hadi robo fainali ya CAF CL na bado msimu unafuata mwanzoni tu wakamtimua kocha aliyewafikisha huko kwa madai kwamba timu imeshuka morali na pia kocha hakuwa na mchango wowote ktk kufika kwao robo fainali!? Na hadi Leo swali la Julio halijajibiwa mana aliuliza kwamba ikiwa viongozi Wa simba wanasema kocha hakuwa na mchango ktk msimu ulopita je walitumia mbinu gani kuchukua ubingwa Wa TPL na kufika robo final kimataifa?
Ukimuuliza Haruna kwamba Katika mashindano ya CAF AMEWAHI KUFANYA NINI..? Atajibu amesaidia kuipeleka timu ROBO FAINAL akiwa Simba na huyu Chama, Kagere, Okwi n.kAna mchango ktk kuisaidia Yanga kuvuna zile pointi zilizosaidia ktk upatikanaji Wa nafasi NNE za kimataifa tulizozipata mana baadhi ya points Yanga walipata haruna akiwepo Yanga. Lakini ukumbuke huyo huyo Haruna ndiye alikuwa game changer kwenye game yenu dhidi ya AS Vita mana ilikuwa ishashindikana ile. Kwa Mwana simba Wa kweli akikumbuka ile mechi lazima ashike moyo litajwapo jina la Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima!
Sio mgeni pale Yanga lakini... huyu jamaa amecheza na Ngasa yule wamoto kabisa.Hapana Yanga hawajakaa sawa timu nzima kiujumla,ila wakiwezekana kuelewana vema basi Baba Mzazi atakuwa akifanyiwa standing ovation na kila shabiki ktk kila mechi!
Oooh sawa!Ameokoka uhuni wote ameacha mkuu