Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

Nani mkali kati ya Joh Makini na Fid Q?

Ndio ukweli ulivyo kwa sasa.
Ilinichukua muda kwenye miaka ya 2010 wakati huo Wasanii hawa wawili wakiwa katika ushindani mkubwa.

Ilinipa wakati mgumu kutambua ni nani, yupi mkali juu ya mwingine.

Kwa sasa siumizi kichwa tena.
Joh kaonesha njia kwa FID Q, amechoka, hana mpya, haimbi HIP HOP kwa sasa..

Ubishi wa nani zaidi umemalizwa.
Kwa taarifa yako.

Wote ni marapa wagumu.

fid Q ana video Mbovu kuliko JoE Makini.

Fid Q habadiliki (ni orthodoxy rapper)
wakati Joe Makini anajua kubadilika Hivyo hatabiriki kirahisi style yake.

Maudhui:-
Fid Q anasoma vitabu Sana. Ujumbe wake unapatikana kwenye vitabu zaidi. Mfano albamu ya Kitaolojia (Theology).

Joe makini ni simple mind. Ujumbe wake ni wa kitaa zaidi ukilenga maisha ya starehe na Burudani.

Wote wana mikito ambayo haijawahi kuchosha masikio mpaka leo.

Pamoja na mchanganuo huu bado sijajua kipi cha kuwalinganisha.
 
unaleta habari za ubora wa video sie tjnaongelea kurap?..joh alishapitea siku nyingi
 
Joh alikua anakuja ilikua kidogo amfikie nusu fid...sasa sijui kichaa gani kikamuingia joh yani cku hizi sijui anaimba uharo gani...hit song ya mwisho ya joh ni dont bother nyingime zote ni upuuzi tu..

Lkn farid kubanda ana consistency kwenye gem...mpaka leo akitoa chuma unasikiliza wewe hadi mjukuu
 
unaleta habari za ubora wa video sie tjnaongelea kurap?..joh alishapitea siku nyingi
Fid q mwenyewe anakiri Video zake mbovu. So zinaharibu ubora wa Muziki wake.
Kwasasa Joe Makini ndiye Bora
 
Tanzania kwani kuna wanamuziki wa RAP.....nijuavyo mimi ni kwamba bongo fleva yote ni fake na wahusika wote ni wasanii tu si wanamuziki kweli.
 
Mi wote nawakubali, mmoja anaweza kuwa bora katika kipindi fulani, mfano kipindi Joh ametoa don't bother alikuwa bora zaidi ila kwa kipindi hiki kama amepwaya kidogo. All in all wote nawaweza katika mzani uliobalance, siwezi kuchagua ambaye ni zaidi. Pia nawasifu sana, kuwa relevant kwenye muziki esp. Hiphop kwa zaidi ya miaka 13 si jambo dogo
 
Wimbo wa Siri ya mchezo wa fid q,ndo ulionifanya nimpe heshima kubwa fid q,na kuheshimu kichwa chake kwa kile alichoelezea humo ndani, tujifunze kuheshimu Bongo za watu na kuzipa heshima inayostahili.
 
Fid Q ni rapa Afrika Mashariki na Kati mwenye kipaji na uwezo wa kipekee kabisa. Binafsi Sijaona mwenye kipaji kama chake kwakwel.
Fid q hamfikii kaligraph Jones acha mihemko ya kibongo movie
 
Joh mshindanishe na shetta ndio wapo level moja
 
Watu wa Arusha wanasema Joh kawa mshamba....Huku Dar tunasema Joh anabebwa.
 
Best raggae and hip hop album ever nas na Damian Marley kuna track inaitwa count your bless ni bonge moja la vibe
Damian jr gong fundi Fid q pia fundi sana tu hapa kwetu alafu aliwahi kutokea jamaa anaitwa Roho saba huyu nae kwenye list ya wakali alikuwepo joh anaimba swagg sana ila pia anajua
 
Back
Top Bottom