all in all,ukiiingia mtaani Hamornize anakubalika sana na ngoma zake zote alizotoa zinaimbwa sna na rika tofauti na jinsia zote...na mpaka sasa hajaharibu bado..rayvanny nae ana uwezo wake pia,ila wengi wa wanaomponda harmo ni ama kutokana na sura yke,kabila lake,umondi wake(life style) n.k lakini in reality si kutokana na uwezo wake wa kuimba,kwenye kuimba dogo ana kipaji na hata boss wao Diamond analijua hilo that's y utaona anampa kipau mbele sana harmonize kuliko mwengn pale wasafi.,.lkn hili utaligundua tu utapochunguza haya kwa umakini with positive mind n attitude.