Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

Huwezi kumfananisha Rayvanny na vitu vya ajabu ajabu hivyo. Halafu hivi Harmonise na yule dogo mmoja wa kwenye Band ya Yamoto Band ni ndugu? Maana huo mfanano!!!!
Yule mwenye base eehh wa ya moto eehh wamefanana et
 
Hoja yako haina mashiko imejaa ka wivu flani , bt all in all dogo mkali yani. Huyo nanjilinji boy hamfikii hata theruthi

Dogo namkubali sana, tena sana, ninachokikataa ni pozi za kike kwenye picha zake,

BTW, nadhani zinakuvutieni, na target yake zaidi ni ninyi (I mean kina dada).

Ukiziangalia vizuri hizi picha, unaweza kuelewa namaanisha nini, he needs to pose like a man!

 
Huwezi kumfananisha Rayvanny na vitu vya ajabu ajabu hivyo. Halafu hivi Harmonise na yule dogo mmoja wa kwenye Band ya Yamoto Band ni ndugu? Maana huo mfanano!!!!
Ina maanisha "mzee wa KINYAMKERA DIBWE?"
 
WCB CHAMA KUBWA,NI WAKATI WA KUWASHINDANISHA WENYEWE KWA WENYEWE.
yah maana hawana mpinzani kilichobaki ni kuwaashindanisha wenyewe tu, kuwalinganisha na wengine ni kuwashushia heshima
 
Toka bongo fleva ianze sijaona zaidi ya mtoto wa kkoo prince dully sykes AKA mr misifa
Tuache masihara hvi Dully anakiimbaga nn.? Me naona Mashudu tu..
Dully ni wa Salome, Baby candy huyu wa sas hvi ni lofa tu
 
mkali wa mademu au kuimba kama ni mademu harmonize yupo vizur
 
all in all,ukiiingia mtaani Hamornize anakubalika sana na ngoma zake zote alizotoa zinaimbwa sna na rika tofauti na jinsia zote...na mpaka sasa hajaharibu bado..rayvanny nae ana uwezo wake pia,ila wengi wa wanaomponda harmo ni ama kutokana na sura yke,kabila lake,umondi wake(life style) n.k lakini in reality si kutokana na uwezo wake wa kuimba,kwenye kuimba dogo ana kipaji na hata boss wao Diamond analijua hilo that's y utaona anampa kipau mbele sana harmonize kuliko mwengn pale wasafi.,.lkn hili utaligundua tu utapochunguza haya kwa umakini with positive mind n attitude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…