Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

Hujanishawishi bado , Ray ni kichwa asee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , kwa nini mkuu??
Upo makin Sana mana Mara nyingi kweny Celebrities forum naona Sana mambo yako.

Good Job unafatilia Sana wasnii wetu na unawapa changamoto katika mambo yao wanayoyafanya.

Safi Sana mkali [emoji123]
 
Hujanishawishi bado , Ray ni kichwa asee
Ok, ila lengo halikuwa kukushawishi au kumshawishi mwengine yeyote yule bali ilikuwa ni kuweka wazi ukweli ambao upo,na naamini baada ya kusoma vyema comment yangu hata ww mwenyw huu ukweli umekuingia moyoni na nafsi yko mpk sasa inakiri ukweli wa niliyoyaandika japo ni ngumu kudhihirisha...rayvanny sio msanii mbaya na binafsi team nzima ya WCB naikubali ila tatizo linakuja kwa wapondaji wanaomchukia harmo bila sababu....ila huyu dogo ndo atakuja kutoboa sana kuliko MAKINDA mengine pale Wasafi coz changamoto anazopitia ni km za boss wake tu of which zinampa hasira ya kufanya vizuri zaidi...you just mark n save my words ipo siku utayakumbuka haya.
 
Man wewe Unajua, kugundua vipaji mkuu, harmonise anajua sana tena sana,
 
Kaka ww ndo umeongea point kabisa kati ya wote.....ukifatilia wengi wanaomponda harmo c kwmba hajui kuimba Bali ni kutoka na na ivo vigezo apo juu plus kutoka na wolper
 
Tukiacha ushabiki tukiweka facts mbele Dogo Raymond atafika mbali Sana tofauti Harmonize. Huyu Dogo anamashairi na anavitu vyake mwenyewe not copied.

Kwenye Salome kamfunika hata huyo anayejiita JINI [emoji2] [emoji23]
 
Wote nawakubali ila Rayvanny ana kipaji kikubwa Sana compared na harmonize ana sauti nzuri Sana ya kuimba, anajua kuchana lakini pia mkali on stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…