Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

Wote wanajua sana lakin Sean Paul amepitiliza. Japo Shaggy ameanza mziki kitambo zaid lakin sean Paul ana hits nying zaid kumshind mpinzan wake.
 
Sean Paul huyu MTU ni hatare hakuna mwaka umekatika bila kuwa na hit either ya kwake au akuwa featured
 
WOTe wanajua aisee nikikimbuka ngoma ya shaggy ft natasha - ultimatum

If I stay, would you put an end
To all the games you play
Can you promise me
That you will never stray
Has to be a new beginning from today,
Only way I will stay
But if I go,
This will be the final curtain of the show
You have lost the best thing
That you ever known
Guess you have to learn
To make it on your own
Let me know stay or go

Na nikikumbuka hold my hand - sean paul ft keri hilson

Nashindwa chagua ila sean paul nahisi katisha zaidi
 
Sean anaonewa ati??
Unamwonea saana.... Sean ni kiungo adimu kwenye music ni mara chache kuwa na watu wanamna hii.

Hana mafanikio makubwa saana kupitia music[kwa wakali wengine duniani] ila ni kiungo adimu. sina haja ya kukuwekea tracks alizofanya ama kushirikishwa maana unazijua.
 
Unamwonea saana.... Sean ni kiungo adimu kwenye music ni mara chache kuwa na watu wanamna hii.

Hana mafanikio makubwa saana kupitia music ila ni kiungo adimu. sina haja ya kukuwekea tracks alizofanya ama kushirikishwa maana unazijua.
Mkuu Avatar yako imetokana na series ya spartacus au jona tu
 
Shaggy kaenda Kimarekani zaidi. Album yake ya kwanza "Pure Pleasure" kuna vibao hardcore, lakini baada ya hapo kaenda pop zaidi.

Sean Paul amejikita zaidi Ki-Jamaica kwa muda mrefu. Ingawa na yeye baada ya kupata umaarufu sasa anaenda pop.

Ni kitu ambacho muziki wa Jamaica kuepuka ni vigumu sana.

Hata Peter Tosh alikwenda pop kiaina wakati wake alipoimba na Mick Jagger.

Ila kwa kulinganisha wingi wa hits, wingi wa collaborations, hardcore riddims, pop riddims kote Sean Paul kamfunika Shaggy.
 
The100 kama umeiona.. huyu jamaa aliwasnitch wenzake ila alikuwa kiongozi mzuri.
Nilitazama season 1 ila sikuimaliza yani nilikuwa kila nikiweka najikuta niko bsy na sim hvyo sielewi kila siku nafanya kuianza upya so nikaachama nayo
 
Sikilizeni BREAK AWAY RIDDIM Halafu muone wendawazimu wa kuchezea muziki
 
Kujadili mziki na watoto wa juz, naonaga km najidhalilisha. Mzk una nyakati zake, Nyakati za Shaggy co za Sean. Shagy alikua anafanya Ragga muffin, huko kwenye dancehal akaja baadae baada ya soko kuchange. Ukisikiliza Genie au Peace of my heart unasikia nini kwa Shaggy. Na hata ktk game Shaggy amekaa mda mrefu sn, wkt akina Sean walikuja kwa moto wa kifuu. Jaribuni kuwafuatilia kwa undani wanamziki. Kuna kipndi alikua anashindanishwa na akina Buju Banton ktk maadhi ya reggae na Ragga mufin, baadae na sean paul kwenye Dancehal, amuoni kuwa jamaa ni kipaji?
 
Shaggy ni mwanamuziki wa msimu, Sean Paul ni mwanamuziki wa muda wote.
 
Huwa mnashangaza sana!

Unakiri kuwa kujadili muziki na watoto wa juzi ni kama unajidhalilisha lakini bado unajadili na kuandika comment ndeefu.

Kwanini usiache kabisa kujadili?
 
Nimeona nikuelishe tu dogo, kwa kushindanisha hvyo huwezi kupata data sahihi kaka. Unaweza ukajifurahisha lkn usiwe uhalisia. Kila nabii ana zama zake, cku shindanisha, bob na lucky au Franco na Koffii.
 
Hao wote wameanza muziki kipindi naufatilia, Shaggy alianza kwa kufanya Ragga Muffin but haikuwa Raga ngumu kama ile ya kina Shaba Ranks, naweza sema ni fusion ya Raga na Dancehall, wakina Sean Paul ndio wakaja na pure Dancehall, all in all Sean Paul mkali bwana tuache utani, ana hits nyingi mno za kwake + collabos tofauti na Shaggy aliyeng'ara kwa hits zinazohesabika, na hakutawala game kwa mda mrefu kama Sean
 
Nimeona nikuelishe tu dogo, kwa kushindanisha hvyo huwezi kupata data sahihi kaka. Unaweza ukajifurahisha lkn usiwe uhalisia. Kila nabii ana zama zake, cku shindanisha, bob na lucky au Franco na Koffii.
Nikuelishe [emoji117] Nikuelimishe

Mimi si Dogo

Back to my qn: Wewe umesema kujadili muziki na watoto wa juzi ni kama kujidhalilisha.

Maswali :

● Umejuaje Mtoa mada ni mtoto wa juzi ?

● Kama unaona ni kujidhalilisha kwanini ukachangia hii mada?

Au unapenda sana sifa na tukujue kuwa u mkongwe ujuaye muziki sana? [emoji23]
 
Jb ni ndio, una swali lingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…